Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

lc 300 na lc 200 ni design mbili tofaut kabisa 🤣🤣🤣🤣 budaa hii mada sio size yako ipotezee
 
kama nyinyi mumepata august basi ujue kuna nchi zimewatangulia kupata ikiwemo tanzania na hili piga garagaza utaaibika bure magari ya kifakhari tanzania ndio nyumbani kwake kwa huu ukanda wa east and central africa mark my words 😂😂😂😂😂

iphone 12 pro zilipotoka mm yangu niliagiza from dubai nilipoenda mlimani city wakashangaa wakaniuliza umepataje hio simu wakat sisi zetu zinaingia baada ya wiki mbili so akili kichwani mwako
 
umeanza kulia sasa haya chukua link sasa🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇

 

😂😂😂😂😂 leo nimecheka sana alooo inamaana hamutaki kuzidiwa na tanznaia kwa lolote
 
Kumbe Ni wivu tu mnao China wakijenga Kenya.... Mbona wakiwa marafiki wenyu mnafurahi najua kisiri mnataka wajenge Tanzania pia [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
china na tanzania urafiki wao ni wadamu nenda usome history 😂😂😂😂
 
Hii haikukodishwa na serikali, ilikodisgwa na CCM .. CCM ni chama tu cha siasa sio serikali, serikali ya tz inamiliki chopa nyingi pamoja na ndege nyingi
Serikali ya Tanzania ina choppers tano pekee.
 
Hizi ni chopa za GoK .? Nini mbaya tukikodisha chopa za private.? Mbona unataka kubadili mada mzee.?
Chopa ni za Kenya. Yani Tanzania hamna choppers hadi inalazimisha the ruling party to hire helicopters from neighbouring country?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…