Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bro shida ni kwamba huyo tahira yeye anasoma vitu kwenye mitandao while wewe unacheza navyo hivi vitu daily kitaa.. hiyo ni tofauti kubwa mno, maskini kubishana na mtu mwenye hela zake tena eti kuhusu magari ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ no wonder uskute huyu mpuuzi Don YF hana ata ka IST
 
Hizo nchi ulizotaja zote combined pamoja na nynyi hamtuwezi ikifika suala la jeshi mkae mbali sana
 
Si tangu juzi mnatumia baba level kama reference kwamba mko na maendeleo.. lakini huyo huyo Baba level mwenyewe anajua kwamba vinchi vya hapa EA vikijipendekeza tutavizabua ๐Ÿ‘‡
 
nashauri dodoma wajenge open space kubwa kwa ajili ya ishu za sherehe kama hizi za leo.. wengine wanaita โ€œsquareโ€..
hizi events kama independence anniversary, sijui presidentโ€™s swearing ceremony kufanyika uwanjan naona imebaki Africa tu.. wenzetu nje ya africa hazifanyiki uwanjan tena
China
NK
 
Kwanza inaharibu uwanja pia ni very local, unajua mambo mengine ni madogo tu na yanawezekana lkn Africa tumejaa mapuuza lkn ni vitu muhimu, cheap na vyenye kuleta maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ