we endelea na revision kama hizo nyumba ni zako sawa......Nairobi's beautiful estates
View attachment 553623 View attachment 553624 View attachment 553625 View attachment 553626 View attachment 553627 View attachment 553628 View attachment 553629 View attachment 553630 View attachment 553631 View attachment 553632 View attachment 553633 View attachment 553634
shukuru mungu jana wakora hawakukupiga kabari.morning silly wadanganyikans ............mmepata breakfast kweli...
Kijana unaishi sebleni kwa wazazi , wa mwisho kulala wa kwanza kuamka utakuwa na mawazo ya kujenga kweli , na ardhi hamna
spensa_e
leteni....LDC ni kubwa sana....ina maeneo mengi sana yenye mvuto wa asili.tutakuletea breathtaking Photos of kericho Limuru or Nyeri tea zones ujichukie
we endelea na revision kama hizo nyumba ni zako sawa......
leteni....LDC ni kubwa sana....ina maeneo mengi sana yenye mvuto wa asili.
picha za mashamba ya chai yanayomiliwa na mafisadi wa kenya,haziwezi itisha LDC.
leteni....LDC ni kubwa sana....ina maeneo mengi sana yenye mvuto wa asili.
picha za mashamba ya chai yanayomilikiwa na mafisadi wa kenya
waliopora ardhi ya wakenya masikinj,haziwezi itisha LDC.
Kadoda i like you! You know keeping us Kenyans here on JF keeps this thing alive. Umejaribu!! Usidhani hatujui! Ila wakenya hatunashida bora tu nasi tutumie nafasi hii kuuza Kenya kwenu na watakao tumia google kisha wasome mambo hapa! Sisi hatujali nilikwambia Kenya kama ni internet tuko nayo kushinda hata Germany na Canada!
Tunaweza shinda hapa all day, all year round!!
Wewe ukitaka kuona ball utatafutana na AZAM ama sijui DSTV. Mimi Kenya na stream bila wasiwasi. Ona hapa ninavyo cheki Arsenal Vs Benfica huku niki jadili hapa JF
View attachment 553711
Karibu Kenya. Unabidii za wakenya
We have everything in Kenya. ....from millions of apartments to town villas......
Sent using Jamii Forums mobile app
vijana wengi wa nairobi kutokana na ugumu wa maisha na ukosefu wa ajira,wamepanga bedsitter room katika yale maeneo ya duni ya nairobi.Kijana unaishi sebleni kwa wazazi , wa mwisho kulala wa kwanza kuamka utakuwa na mawazo ya kujenga kweli , na ardhi hamna
spensa_e
vijana wengi wa nairobi kutokana na ugumu wa maisha na ukosefu wa ajira,wamepanga bedsitter room katika yale maeneo ya duni ya nairobi.
kwa wale wasioelewa kuhusu bedsitter,ni kajichumba flani hivi kadogo ambapo jiko na choo hupatikani eneo moja.
kutokana mazingira ya bedsitter room,
harufu ya kinyesi toka chooni mara nyingi huenea mpaka jikoni.
msishangae kwanini vijana wa kikenya wana kuwa na ujinga ujinga kichwani,ni kwasababu mda mwingi wanavuta harufu ya kinyesi inayotakana na mazingira ya bedsitter wanayoishi.
kutokana na uhaba wa ardhi,wakazi wengi wa nairobi hawamiliki nyumba zao binafsi.
asilimia kubwa ni wapangaji walio-rent nyumba zinazomilikiwa na kikundi kidogo cha wakenya toka kabila la kikuyu.
that being said,i present to you a sample of random photos that show private houses owned by the common citizens of dar es salaam.
bado sana aisee wakenya inabidi mjipange nachokushauri endelea kupost zile picha za kota ......maana ukiingia huku unapotea
kutokana na uhaba wa ardhi,wakazi wengi wa nairobi hawamiliki nyumba zao binafsi.
asilimia kubwa ni wapangaji walio-rent nyumba zinazomilikiwa na kikundi kidogo cha wakenya toka kabila la kikuyu.
that being said,i present to you a sample of random photos that show private houses owned by the common citizens of dar es salaam.
Ilikua tz vs kenya ama nai vs dar????watu wa nchi ya njaa,leo nawaonyesha uzuri wa LDC kwa uasili wake.endeleeni ku-repost picha za CBD maana tunajua sehemu kubwa ya ardhi ya kenya ni kame.
Tangu niko kindergaten nilikuwa napita gated community kadhaa nikielekea shule. Nikutajie chache tu valhala village,baobab village,canada village(inavunjwa kupisha new project),finnish village,tipper village(hii tumewazawadia UAE wamejenga ubalozi wao hapo).watanzania semeni tu neno gated communities, estates na apartments ni geni kwenu. Huwa hamna picha za kujibu sasa ni visingizio tu....hahaha. Mtaelewa tu issue ya mortgage mkitoka LDC