Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Cool, a section of UpperHill "city centre", Kimara ya Nairobi πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ weka Kimara nione..,
View attachment 2037033
View attachment 2037035
View attachment 2037036
Ila nyinyi mnachekesha sana kwahyo kumbe maneno ya Baba level mliyachukulia serious πŸ˜‚πŸ˜‚ unaujua umbali wa kutoka Kimara mpaka City center.? Hii enyewe mawasiliano &mlimani City ni km 13 away from CBD πŸ‘‡ hivi kwa kenya umbali wa Km 13 away from CBD unaweza kukutana na skyscrapers kweli.?.. we jamaa si unajinasibu unaijua DSM wewe.? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
So hapa ni Nairobi au co[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2037139

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ukaweka Old Taxi park Kampala? umefinywa, unatafuta pa kutokea, kama vile niweke hii hapa ya Dar.., sihitaji kuiponda Dar ndio Nai iyonekane, Nai iko sawa ata ukipanga sehemu zote za Dar hapa, utaishiwa pumzi tu, ukimbilie Kibera kujikomboa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚


Nairobi city centre

 
Skyscraper moja ama mbili ni kitu ya kuongelea, na tunajua hiyo sehemu iko vipi kote kote., dogo kua serious wakati mwingine., tulieni na hiyo city centre moja tu., kisha City moja tu nchi mzima πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ .,,
Off Mombasa road.., class vs gorofa mbili πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚








 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2037083View attachment 2037091

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa hii ndio Kilimani ya Dar ama? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚


Kilimani ya Nairobi inaweza battle Dar City Centre fair and square! Dar kijiji cha CBD moja, Tz nchi ya City moja πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kilimani on πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯




 
Kampala au sio, jengeni wacheni ujinga, watu tunatumia pesa nyingi kubadilisha nchi nyinyi mnabaki kupakataa kwenu[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Find similar images using


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Westlands! Second CBD;
muonekano wa "
City centre" ya ukweli., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…