Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha ujinga kipindi TPA inabuniwa tender ya K&M Archplan ilikuwa-procured na Dar es Salaam Office iliyokuwa chini ya managing partner Prof wa Kibongo! Ndo maana tangu ajitoe hamna tender za maana K&M Archplan inapata!
Safi Sana πŸ‘πŸ‘
 
Wewe wacha hasira. Parliament yenu mpya huyu Mkenya ndiye aliidesign. Sio jengo la TPA pekee. Nenda kalilie chooni.

Cc NairobiWalker
 
mambo kama haya hamuongelei kabisa πŸ˜€
So what?.., bado tunajaza ndege domestic flights na wameongeza fare., tunalipa fare na kununua mafuta ya kupika, wivu isikunyonge leo., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…