The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Hebu twende taratibu kwanza ili nijue uwezo wako kiakili, maskini ni yule anayeshinda ku afford basic needs c ndio?Umasikini ndio imepungua. Mko na masikini wengi kutuliko
Kwamba alipandishwa kwenye intelligence plane na akapitishwa chini ya ardhi au sio [emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Your statement isn't different from what we've always said here about Magufuli
Mwishowe yuwapi? Alafu hiyo "adabu" iliwasaidia kutupita?Na adabu kawatia kweli kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Your statement isn't different from what we've always said here about Magufuli
Ulitaka aishi milele? Kwn wewe utakuwa hufi? Hapa tunapoongea tuna vitu vingi kaviacha ambavyo kwenu ni ndoto za alinacha kuwa navyo au nivitaje [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwishowe yuwapi? Alafu hiyo "adabu" iliwasaidia kutupita?
A poor person is anybody who LACKS MONEY to enable him or her live a standard considered normal or comfortable in the society. Ndio maana poverty index is usually measured by those living above or below a certain amount of money each day. It can be a dollar a day or two dollars a day depending on several factors. That's the universal standards of measuring poverty. Si hiyo yako ya Saint KayumbaHebu twende taratibu kwanza ili nijue uwezo wako kiakili, maskini ni yule anayeshinda ku afford basic needs c ndio?
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua aliwaachia "electrified sgr station" pale Pugu. Ama kuna kingine?Ulitaka aishi milele? Kwn wewe utakuwa hufi? Hapa tunapoongea tuna vitu vingi kaviacha ambavyo kwenu ni ndoto za alinacha kuwa navyo au nivitaje [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Curtain ya nn wkt mlima uko nyumbani na tuko mbali kimapato au hutaki.
5,801-919=4,882 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2036619
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hakuna free Universal healthcare usijisumbue🤣🤣🤣Ulitaka aishi milele? Kwn wewe utakuwa hufi? Hapa tunapoongea tuna vitu vingi kaviacha ambavyo kwenu ni ndoto za alinacha kuwa navyo au nivitaje [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Baba levo is your celebrity hata ulie damu🤣🤣🤣baba levo ni nani tanzani sindio yule alisema diamond anapesa hata ya kushusha mbingu kidogo 😂😂😂😂😂
baba levo namjua kama chawa wa diamond na sivinginevyo 😆😆Baba levo is your celebrity hata ulie damu🤣🤣🤣
usinambie kua hii picha imekuumiza sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Amboseli National Park, Kenya 😂 😂 😂 View attachment 2036614
mlima wa tanzania lakini unawanyima usingizi 😂😂😂na huu mlima unaingiza watalii wengi sana kuliko masai maraAmboseli National Park, Kenya 😂 😂 😂 View attachment 2036614
na wewe umeumia pia 😂😂😂Hapa magufuli karibu aweke curtainView attachment 2036615
watumie kwa pesa gani ikiwa pesa ya kula hawana 🤣🤣🤣🤣hata hio ndoto ya kua na maisha bora hawana pia alaf unawaza expressway ya mchinaSi wewe ndo umesema 75% ya Nairobians hawatatumia hiyo Barabara coz ni watu wa slums? Ndio nakuuliza hivi, expressway inajengwa kwa ajili ya magari au wapita kwa miguu?
wala hakua na roho mbaya ndio alikua anataka muache kuishi kwa mazoea sio munaleta mifugo yenu wanaharibu misitu ya tanzania alaf munakaa munakenua meno 🤣🤣 magu ndio alikua kiboko yenu miaka 5 mumeona kama miaka 50Yule Jamaa alikuwa na roho mbaya sana. Ingekuwa ni uwezo wake, angehamisha Kenya apeleke kwingine
kwan ww hutakufa ?? kufa ni wajibu sio ombi ondoa mentality ya funza kichwaniMwishowe yuwapi? Alafu hiyo "adabu" iliwasaidia kutupita?