Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ilipanuliwa au bado ni hiyo size ya choo ya bedsitter?
You mean this one?
View attachment 2033668

Do you still want to compare it with Emali SGR Station?
Hii ya cables mbn hujaiweka au hupendi kuiona [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanataka kila sehemu tuweke ma station makubwa hata porini, wanasahau cc co wehu kama wao waliojengewa ma station bila mpangilio wowote ili kuongeza cost.

Pia kwasababu hawana akili wanashindwa kuelewa kwamba treni zetu zitakuwa na kasi kubwa mara mbili ya mitungi yao so hakutakuwa na que kubwa ya kusubiri train mana Fasta imefika zen fasta ime deliver unlike their charcoal trains.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya tunaproduce 3,000 MW wakati tunaconsume 2,036 MW. Hio ni nini kama sio surplus? Au surplus ina maana tofauti na ninavyoielewa mimi?
 
Kwahyo bwana Nicxie unachotaka kusema ni kwamba kwenye hii👇pichaView attachment 2033584North, North West and EAST of kenya, hakuna watu wanaishi hayo maeneo.?
Northern Kenya is sparsely populated. That's the point I was trying to drive home.

Back to your picture, does it mean that hizo maeneo (north of that line you've drawn) hayana stima? So Garissa, Turkana, Isiolo, Mandera, Marsabit na Moyale counties hakuna stima? Is that your reasoning?

These are night images of different towns in northern Kenya where you believe there's no electricity simply because you looked at a certain map!


So hizo si stima?
 
Kama mna surplus ya Mw zaidi ya 1000 mbn mkunya mwenzio anasema hamkujenga electrified SGR kwasababu umeme hautoshi, unakubaliana naye?

Sent using Jamii Forums mobile app
La. Kwa maoni yangu, hatukujenga SGR ya umeme kwa sababu ingekuwa pesa nyingi zaidi kwa mpigo. So tuliamua kuanza na diesel ila baadaye itakuwa upgraded to electric. Nadhani bei kali ya mchina ndio ilifanya tukasusia electric kwa sasa.
 
Tangu lini mimi nikaongea bila facts? Sawa naleta facts lakini najua utaruka na kuanza excuses nyingi tu. Subiri nakuja.
Tangu lini mimi nikaongea bila facts? Sawa naleta facts lakini najua utaruka na kuanza excuses nyingi tu. Subiri nakuja.
La. Kwa maoni yangu, hatukujenga SGR ya umeme kwa sababu ingekuwa pesa nyingi zaidi kwa mpigo. So tuliamua kuanza na diesel ila baadaye itakuwa upgraded to electric. Nadhani bei kali ya mchina ndio ilifanya tukasusia electric kwa sasa.
Hapa ni maoni yako au FACT?!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…