Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We bwege kweli buda, kuna future gani kwenye diesel sgr station ukilinganisha na stations za treni za umeme. 😀 Eti futuristic, hizi linganisha na stations zetu za mabasi maana kwote kunaweza kuwa na harufu inayoelekeana itokanayo na diesel
Nimefika hapo kwa diesel sgr station nikaacha kusoma🤣🤣🤣 wtf
 
Tunawapiga pini mpk Jf wanaiona chungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna cha pini apa..battle iliishaisha kitambo apa tulikua tu tunangojea ushuhuda kutoka wenzio..Mtanzania mwezio na sabatical..Apa tu sai kufurahishana tukutane baada miaka 25 venye baba levo alivyo washauri..😛. Game over hakuna cha nini wala nini
,
 
Umecheki clip nliyoshare kuhusu china na sgr africa? unaambiwa upgrades zitafanywa na mchina, so ukisikia wanaelectrify ujue ni mimba ingine ya mchina na pia itakua kimchongo kama mnavyojaribu brt
 
Baba levo amekuwa star sn Kenya eeh, hicho ndicho alichotakiwa kufanya kwamba mjinga msifie, hii kitu huwa anakosea sana Diamond ndio maana hamumpendi mana hana time na Kenya kama haijui vile, zaidi ya kuwato..mb..a dada zenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…