I just wanted to let you know that suala la viongozi kuongia nchi zingine kisiri/kigsfla sio jambo geni. But I know your ignorance levels won't allow you to comprehend anythingHabari yako hii hapa [emoji116][emoji116] alafu niambie uhusiano wa Magu kuletwa Nairobi na Trump kwenda Iraq kisiri, Wakenya hamna akili huwa mnapenda kulinganisha mambo ya developed na developing countries, haya habari yako hii hapa, niambie hata mtu chizi kama wewe akiona air force one atashindwa kujuwa kinachoendelea?View attachment 2033193
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli ndiyo hampendi. And that`s why you will forever remain to be a sorcerer.Truth ipi bwana mapesa . Hivi Ile minoti yako bado haijazaa kweli . Nasikia ushakua dollar bilionaire . Jamaa muongo halafu hauna aibu . Much know , shameless, mediocre
Si unataka kujua venye alifika Tanzania? I have given you an easier way to help yourself with the question.Keshakasirika [emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli kwamba wewe tajiri au ? Acha story zako za kutungaUkweli ndiyo hampendi. And that`s why you will forever remain to be a sorcerer.
So aliletwa na ndege gani mana Trump imeonekana hapo Air force one, au aliletwa na intelligence plane na akarudishwa na hyo hyo intelligence plane kupitia chini ya ardhi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]I just wanted to let you know that suala la viongozi kuongia nchi zingine kisiri/kigsfla sio jambo geni. But I know your ignorance levels won't allow you to comprehend anything
Si umesema mwili ulipokelewa pale AMREF terminal au sio wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Si unataka kujua venye alifika Tanzania? I have given you an easier way to help yourself with the question.
Ni nini nimetunga? Ama nimetunga kuwa Magufuli amekufa na kumbe ako hai?Ukweli kwamba wewe tajiri au ? Acha story zako za kutunga
AMREF terminal iko Wilson airport.Si umesema mwili ulipokelewa pale AMREF terminal au sio wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kizungu kibao, ulimskiliza mtoa taarifa ya msiba (SSH) alichoeleza kwamba Magufuli alikua wapi kabla ya kifo chake? Haya pitia hapa 👇His denial came after questions about Magu's health and whereabouts had emerged. Your president was away for a whole two weeks and you believe all was well? Where was he for all those two weeks? Serving Tanzanians? Is that what you want to believe?
Like I already told you before, health of a sitting head of state is not handled casually like you think, especially if his or her condition is not improving. There's so much that happened behind the scenes for those two weeks that are beyond your comprehension levels. If Magu wasn't sick (and I mean seriously sick) for those two weeks that he wasn't seen or heard from, then where was he?
So mwili wa Magufuli ulipokelewa wapi? Au ulipita chini ya ardhi?AMREF terminal iko Wilson airport.
Sawa, kwahyo kutoka hapo Wilson airport alifikaje tz bila Watu kujua .? 😂😂😂AMREF terminal iko Wilson airport.
So wewe unaamini kila panapoonekana ndege ya Airfoce One ni lazima Rais wa Marekani awe ndani? 😂 😂 Alafu nikikuuliza kama unajua kitu kinaitwa intelegence unatoa povu!So aliletwa na ndege gani mana Trump imeonekana hapo Air force one, au aliletwa na intelligence plane na akarudishwa na hyo hyo intelligence plane kupitia chini ya ardhi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
The same way aliugua na kufa bila nyinyi kujuaSawa, kwahyo kutoka hapo Wilson airport alifikaje tz bila Watu kujua .? 😂😂😂
Mbona unataka kulazimisha vitu vya uongo mzee, ili iweje sasa.?I just wanted to let you know that suala la viongozi kuongia nchi zingine kisiri/kigsfla sio jambo geni. But I know your ignorance levels won't allow you to comprehend anything
😂😂😂 Heb Acha kujitia ujinga ambao haukonao .. ni aibu jitu Zima kama wewe kujitia hamnazoThe same way aliugua na kufa bila nyinyi kujua
Uongo upi? Kwamba hii nayo ni uongo ama?Mbona unataka kulazimisha vitu vya uongo mzee, ili iweje sasa.?
Hebu niambie mwengine anayetumia Air force one ukiacha president pale US.So wewe unaamini kila panapoonekana ndege ya Airfoce One ni lazima Rais wa Marekani awe ndani? [emoji23] [emoji23] Alafu nikikuuliza kama unajua kitu kinaitwa intelegence unatoa povu!
Sawa aliugua na kufa, ss tuambie alifia wapi?The same way aliugua na kufa bila nyinyi kujua
Mzee kwani hapa tunamzungumzia Trump au Magufuli.? Vipi mbona unakuaja na Link ambazo zinatutoa nje mada.? Umechanganyikiwa.?Uongo upi? Kwamba hii nayo ni uongo ama?
Intelligence c tumekubaliana ni ndege iliyobeba mwili wa Magufuli na ilipitia chini ya ardhi kiasi kwamba hakuna mtu angeweza kuona, au naongopa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]So wewe unaamini kila panapoonekana ndege ya Airfoce One ni lazima Rais wa Marekani awe ndani? [emoji23] [emoji23] Alafu nikikuuliza kama unajua kitu kinaitwa intelegence unatoa povu!