chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,739
- 46,078
Accounts zote za wanaharakati wa Tanzania ndio zilitoa fununu kuhusu afya ya Magufuli, msichojua ni kwamba waliondaa huo uvumi ni TISS wenyewe hiyo yote ikiwa ni mbinu ya kuwaandaa Watanzania kisaikolojiaHatushobokei Tanzania. Tunawapa tu taarifa ambazo vyombo Vyenu vya habari hawapi. Nitajie chombo Chenu cha habari hata moja iliyotoa hiyo taarifa aliyosema Lissu kuhusu afya ya Magufuli
Flying from nigeria to dar is 5 hrs, likewise from dar to dubai is still 5hrs,same case to SA, your point? Ama unadhani ndege ni matatu?From Dodoma to Nairobi and from Dodoma to Zambia or Congo wapi karibu? Mbn mna akili mbovu sn nyie wakenya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mkifa inakuwa safi tu mana hamna akili.una moyo wa kishetani si siri
Yaani wakunya akili Zao mgando sio Siri kuzushia watu au MTU habar za uongo ni vibaya Sana!Utapiamlo wa akili ni kitu kibaya sana.
Tell them this and they'll skin you alive πIn fact Tanzanians knew the death of Magufuli from Kenyans. Mama Suluhu was just confirming the obvious.
Wewe si tulikubaliana ni 6km? Hutaki kushinda, hutaki kushindwa. π€£ π€£ π€£Cku ukileta ushahidi kwamba ina 11.2km nafunga account JF, costs are there to be minimized and not maximized, eti ilibadilishwa kutoka 8.9km to 11.2km[emoji1787][emoji1787]
Na mbn fundi wa ku update google mnaye Mr nicxie c mumtumie huyo ku update?
Sent using Jamii Forums mobile app
Then you will be forced to get used to them.We jamaa huaga na majibu ya kunya Sana daaahπ
Ndo maana huaga tunasema mna roho mbaya na ngumuπ
Kwao kueneza fake news ni "uhuru wa habari"Yaani wakunya akili Zao mgando sio Siri kuzushia watu au MTU habar za uongo ni vibaya Sana!
AMREF is saying HI to you. This was in March 2021.Hivi hujui Kuna Air ambulance ambazo zinakwenda Kasi Sana?. Sasa Kama alikua katika hali mbaya Sana, huko Kenya angeletwa kufanya nini?, Hamna uwezo wowote wa kusaidia wagonjwa serious kutuzidi, we are much better in emergency medicine than you.
πππ Nyie ndio wa kwanza kusema Magu ni mgonjwa .? Au unataka kumdanganya nani na Ili iweje, alieleta porojo za Kuumwa kwa Magufuli na kuwa amelazwa NAROW BEE sindio baadae aliedai kuwa Magufuli alisafirishwa tena kuelekea India kimatibabu ? Bwana Lisu.? NDIO mtueleze sasa Magufuli alirudishwa lini kutoka India hata afie NAIROBI, na baada ya hapo alirudishwa tena lini kutoka uko NAIROBI ambako hakuonekana wakati akiingia wala kutoka, na tulimpokeaje then apelekwe mzena hospital..Denial mode, same as tukiwaambia magu ako kubaya
And their own government even lied to them about the health and whereabouts of tueir presidentFirst ever "modified" JMP eulogy in public. The raw information was out three days before the official announcement.
Even Moi was treated and died in Kenya. What's your point exactly?Hahahaha, we have very fast jet which can take only two hours to Johannesburg, my friend, no way Magufuli could be taken to Kenya, he was Kenya's number one enemy.
One thing you must accept is that, Tanzania's Hospitals are better than Kenya's, that's why Benjamin Mkapa was treated and died within the country.
Rais wa nchi sio shambaboy na wala kifo chake hakitangazwi kienyejienyeji hasa Rais anaefia madarakani na aliependwa kama MagufuliAnd their own government even lied to them about the health and whereabouts of tueir president
Alafu wanatangaziwa kifo cha Magufuli usiku kama watu wamelala.And their own government even lied to them about the health and whereabouts of tueir president
Alipitishwa kisiri mana kuna Airpot ya chini kwa chini huwezi kuona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] Nyie ndio wa kwanza kusema Magu ni mgonjwa .? Au unataka kumdanganya nani na Ili iweje, alieleta porojo za Kuumwa kwa Magufuli na kuwa amelazwa NAROW BEE sindio baadae aliedai kuwa Magufuli alisafirishwa tena kuelekea India kimatibabu ? Bwana Lisu.? NDIO mtueleze sasa Magufuli alirudishwa lini kutoka India hata afie NAIROBI, na baada ya hapo alirudishwa tena lini kutoka uko NAIROBI ambako hakuonekana wakati akiingia wala kutoka, na tulimpokeaje then apelekwe mzena hospital..
Ila wewe una vijisababu visivyo na kichwa wala miguu πππAlafu wanatangaziwa kifo cha Magufuli usiku kama watu wamelala.
Sasa kizee cha miaka 100 unakipeleka nje kwa matibabu ili iweje? Mbn mna uwezo mdogo hivi nyie watu? Ckuwa najua kabla kwamba Wakenya hamna akili.Even Moi was treated and died in Kenya. What's your point exactly?
Sasa utaelewaje haya yote wakati the same government that was at the center of all these ilikuaminisha wewe na watanzania milioni sitini kwamba magufuli alikuwa akichapa kazi? There are certain things that are beyond your comprehension Kijana. Sickness and subsequent death of a sitting president is not handled kijuakali as you think. It is a well-guarded secret that only people in high places can get wind of. Ndio maana wewe hapo Tandale ulishtuka tu kuona taarifa za kifo chake ikitangazwaπππ Nyie ndio wa kwanza kusema Magu ni mgonjwa .? Au unataka kumdanganya nani na Ili iweje, alieleta porojo za Kuumwa kwa Magufuli na kuwa amelazwa NAROW BEE sindio baadae aliedai kuwa Magufuli alisafirishwa tena kuelekea India kimatibabu ? Bwana Lisu.? NDIO mtueleze sasa Magufuli alirudishwa lini kutoka India hata afie NAIROBI, na baada ya hapo alirudishwa tena lini kutoka uko NAIROBI ambako hakuonekana wakati akiingia wala kutoka, na tulimpokeaje then apelekwe mzena hospital..
Hivyo ndio wanavyodanganyana wakenya πππ kwamba Mwamba alipitishwa kisiri siri, watu wakaambiwa hakuna kusema πππAlipitishwa kisiri mana kuna Airpot ya chini kwa chini huwezi kuona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hivyo mtu akifikisha umri wa makamo anawacha kuwa mtu?Sasa kizee cha miaka 100 unakipeleka nje kwa matibabu ili iweje? Mbn mna uwezo mdogo hivi nyie watu? Ckuwa najua kabla kwamba Wakenya hamna akili.
Sent using Jamii Forums mobile app