Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Just because your city built some three blue towers and the party ended there sasa unatafuta maneno za kujifariji
 
Roho imeuma pole bana
 
The first rumor about his public absence was from Tundu Lissu you fool, ni sababu tu Kenya mnapenda kushobokea Tanzania ndio mkai hype but all preliminary leakages were from ex TISS agents
Hatushobokei Tanzania. Tunawapa tu taarifa ambazo vyombo Vyenu vya habari hawapi. Nitajie chombo Chenu cha habari hata moja iliyotoa hiyo taarifa aliyosema Lissu kuhusu afya ya Magufuli
 
What jet ? You think emergency situations mtu huwekwa tu kwa jet na anaenda
Hivi hujui Kuna Air ambulance ambazo zinakwenda Kasi Sana?. Sasa Kama alikua katika hali mbaya Sana, huko Kenya angeletwa kufanya nini?, Hamna uwezo wowote wa kusaidia wagonjwa serious kutuzidi, we are much better in emergency medicine than you.
 
Cku ukileta ushahidi kwamba ina 11.2km nafunga account JF, costs are there to be minimized and not maximized, eti ilibadilishwa kutoka 8.9km to 11.2km[emoji1787][emoji1787]

Na mbn fundi wa ku update google mnaye Mr nicxie c mumtumie huyo ku update?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…