Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna mradi hata mmoja walioahidi na ukafanyika licha ya matozo tozo kila sehemu, soko la kariakoo tu sioni chochote zaidi ya tuta tuta tuta, hii CCM imshukuru sn JPM la cvyo wangepata tabu sana kuwakabili Watz wa ss walioelimika.

Miradi 99% wanayoringia ni jitihada za jemedari, Rais wa ss ndiye atakuwa wa mwisho kutoka CCM kuongoza hii nchi, tunakwenda kuichoka CCM.

Serikali ya TUTA.
 
Wale wacameroon niliwaona mzee walikuwa wameshiba kweli kweli, kama vijana wamewatoa wale wanahitaji pongezi aisee.
 
Je Nairobi hospital inaiweza Muhimbili hospital? Nijibu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
😂😂😂 Wakati wa msiba wa Magufuli kuna askofu alinukuliwa akisema dakika chache kabla Magufuli hajafa alipigiwa simu kutoka ikulu kwenda kumfanyia maombi na yeye aliitikia wito huo mara moja na waliongea na kufanya sala pamoja kabla hajafa

Inaonekana Dar na Nairobi ni seconds distance, mnalazimisha kwenye hamna bila kujihusisha na Tanzania you don't look relevant at all 😅😅😅
 
😔😔😔😔😔😔😔😔
 
Kama vile alikua busy na mafiles ikulu [emoji23][emoji23]
Bado mkidanganywa wakenya walikua wameandika RIP
 
Legends never die, ataishi kwenye nyoyo na ndimi zenu enzi nyingi sana, you will die for your problems and JPM syndrome on top while ukifa hakuna atakaekutaja baadapo.
Ona huu fala, kwani wewe ukifa utatajwa na nani? kalambe mzoga wa JPM chato bootlicker wa ccm.
 
Ona huu fala, kwani wewe ukifa utatajwa na nani? kalambe mzoga wa JPM chato bootlicker wa ccm.
😂😂😂 Itakuuma sana, JPM anazidi kukudictate kutokea kaburini na bado mpaka uvae chupi kichwani, Legends never die, japo JPM is no more lakini utabaki ukimtaja mpaka uje kuzikwa kama mzoga
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Itakuuma sana, JPM anazidi kukudictate kutokea kaburini na bado mpaka uvae chupi kichwani, Legends never die, japo JPM is no more lakini utabaki ukimtaja mpaka uje kuzikwa kama mzoga
JPM is dead and rotting no matter how you console yourself.
By the way he hated Kenya but died in Nairobi Hospital [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Itakuuma sana, JPM anazidi kukudictate kutokea kaburini na bado mpaka uvae chupi kichwani, Legends never die, japo JPM is no more lakini utabaki ukimtaja mpaka uje kuzikwa kama mzoga
Unatafuta pa kutorokea[emoji23][emoji23] iza men
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…