Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi kuna jamaa ana miliki I'd mbili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]maana naona kapotea kidogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa hawajiamini kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hapa umekosea...

"Installation of electrical cables or lines" hii tayari imefanyika,
electricity inakuwa transimiited kwenye hizo lines.

Process yote inaitwa electrification.
Huyu anajua installation of power Wana fanya tanesco na sio the great trc sema ubishi 🙂
 
Hayo ndo maswali waliyochemka wajuba????..duh
 
Wewe jua kila kitu ikona its own foundation, and thats where ours lies, whether ni scholarship or not ni Kenyans still who went to study abroad
Sasa alikuekuambia Watanzania hawakusoma nje hata kabla ya uhuru ni nani? Leta wanaoenda kwa hela zao wenyewe tuone kama mna ubavu
 
Ndo maana waarabu wanawapiga mabakora Mna roho ngumu Sana[emoji846]yaani ukafanye kazi za ajabu upost picha upo UAE [emoji846]
Dah!

 
Bwahahahaa!!!acha bone marrow tu, kuna na vingine vingi hko kwenu hata hamna ndoto navyo

..

The Aga Khan University Hospital is the first in the region to offer the Neurointerventional surgery, a less invasive procedure

...

Hahaha, hakika umepambana kuandika those medical terminologies
Hope you googled [emoji38][emoji38]
 
Tanzania worldwide


Rais leo kawapongeza wale wachezaji walemavu kufuzu kombe la dunia, Ilani ya CCM inasema itajenga uwanja Dodoma. lkn mpka sasa siwaelewi hawa viongozi, mpka leo hawaoni umuhimu wa kujenga viwanja kama vya Mkapa zaid ya viwili au vitatu?

hela ya Boeing moja kubwa inatosha kujenga hata viwanja vitatu, lkn siwaelewi kbsa hawa viongozi hasa Rais hawafikirii kujenga[emoji25]
 
Kwani hii nchi ina kiongozi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…