Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na nikisema ww ni mwili unao tembea huwa namanisha [emoji116]jinsingani ubongo wako umekufaaaKwakua mdanganyika ndio anawafinya hiviView attachment 2017199View attachment 2017200
Naona polisi wa kenya wana chapa kada wa chama cha CCM hapo chini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wakati hizo nguo ukizivaa tanzania hata ukibaka watoto wachanga unapeta tu labda usiwe team mkwere
 
MY friend na sio kwa ubaya, ni vile tu nyie wa tz mnapenda sana ubishi ..lakini kwa kusema kweli...kenya ni nchi imeendelea saaana hapa afrika...saana..
Labda kwakununua ile mitumba ya trains
 
hiyo link haisaidii kitu,anayejua maisha halisi ya watu wake ni mwenye nchi,hao WB sijui na IMF ni virutubisho tu wanapima vitu kwa nadharia tu kwa kukisia mambo,hatutegemei data ambazo hata wewe unaweza kuandaa data zako,kama jinsi mlivyojisambazia mitandaoni kuwa mlima kilimanjaro upo kenya na baadhi ya foreigner waliamini hilo,
kwa ground hamna kitu reality yenu tunaijua ni bure kabisa.

wewe nimiongoni wa watu mnaoitwa nyani,kwa kuwa mlifanyiwa tafiti na mkamezeshwa na mkaamini kuwa binadamu wa kwanza alikuwa nyani
 
huo ni upuuzi,hiyo si freedom of media mzee,sheria zipo huo ni uzalilishaji tena kwa raisii wa nchi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji7]
Yanaiga US, haya majitu ni majinga sn, yanaiga kila kitu from western countries tatizo kila yanachoiga yanaishia kujidhalilisha tu.
 
You are being bitter and salty for nothing na pia unadhihirisha jinsi ulivyo mjinga. Kwa hivyo WB na IMF wanatumia tu nadharia kutengeneza data zao? Hivi, wewe umesoma had kiwango gani cha elimu? Kuna uwezekano najadiliana na mwehu.
 
Wacha kuwa mjingaaa....siyo IMF walio wambia mnaweka pesa yenu fixed against usd?...nikichwa yako tu ndio kubwa akili huna
 
Hakuna maji hakuna stima. Mateso kweli kweli.

Sea Cliff naifahamu nimewahi kuhudumiwa pale, ni mzaha mkubwa sana kwa hoteli yenye hadhi hiyo kukosa maji, hainiingii akilini, hawa jamaa uzembe wao huwakwamisha sana.
 
Foreign reserves za kitoto. Mbona sisi tuna foreign reserves kubwa kuwashinda na haturingi. Wacheni ushamba bana.
 
Jibu hoja kwa nini hamkuweka umeme wa dharura in case of ukame kama saizi? Kwa hiyo hiyo ndio crisis management ya Jiwe?

Wewe kwa akili yako mbovu kama hakuna ukame kilichopelekea maji kupungua kwenye mabwawa ni nini?

Mama sio kiazi kama yule wenu,Kazi inafanyika hivi 👇

 
Sio kusingiziwa,ndio ukweli Kwani uongo,waharibifu wa mazingira aliwayetea,machinga akasemw waachwe,wavuvi haramu akamtimua Waziri ,madeni kila sehemu huku anadanganya, kwenye umeme alikuwa busy na stiglaz huku alishindwa kuandaa buckup in case of emergency..Shujaa mjinga asiye na maarifa.

MKapa na JK walishatutoa kwenye madeni ila Ona hujaa mkurupukaji alikoipeleka nchi 👇



 
You are being bitter and salty for nothing na pia unadhihirisha jinsi ulivyo mjinga. Kwa hivyo WB na IMF wanatumia tu nadharia kutengeneza data zao? Hivi, wewe umesoma had kiwango gani cha elimu? Kuna uwezekano najadiliana na mwehu.
uwe unaelewa unachosoma ,usiwe unasoma vitu kama kasuku,

umevimbe upasuke uhalisia maisha yenh ni ya ukunguni tu
hamna jipya
 
Sea Cliff naifahamu nimewahi kuhudumiwa pale, ni mzaha mkubwa sana kwa hoteli yenye hadhi hiyo kukosa maji, hainiingii akilini, hawa jamaa uzembe wao huwakwamisha sana.
Onesha sehemu waliposema hakuna maji.


Wakenya hamna akili
 
acha upimbi
kwani kwenye hii nchi Rais alikuwa ni magufuli peke yake?

hizi mambo za kukatika katika kwa umeme hovyo tulishazisahau haya mambo yalikuwa enzi za kikwete,
kwa kuwa kikwete amekuja kuongoza nchi kivingine tutegemee mengi tu kutokea na wewe kama panya utakuwa ni shahidi namba moja kushuhudia na kunasa kwenye mtego wenye nyama,picha ndiyo kwanza limeanza kila kiongozi anamapungufu yake hivyo kuna mazuri na mabaya siyo unakuja hapa kusifia mambo kitoto
 
Foreign reserves za kitoto. Mbona sisi tuna foreign reserves kubwa kuwashinda na haturingi. Wacheni ushamba bana.
Weka ushahidi. Na usisahau tumeongoza kwenye FDI, kama pia mna FDI kubwa weka ushahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…