The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Mkuu karibu tena home.This is ludicrous. So what you’re saying is all cities should look like western cities? Even western cities look drastically different from one another. London doesn’t look like Los Angles, Paris doesn’t look like Berlin, and Madrid doesn’t look like New York City. Miji ina muonekano tofauti kutokana na factors mbalimbali. Hii akili ya Kudhani kuwa kila kitu cha kizungu ndio bora kuliko vitu vyote ni ya kijinga.
Wakati ukililia, seco engineering Is dominating the east coast. Below boats are for Tanzania 👇👇💩💩Mpaka sasa tunapoongea meli kubwa lake Victoria ni New Mv Victoria, record itavunjwa na Mv Mwanza soon.
Inaweza kuwa masharti ya mikopo ya uviko.Hizo max ni ujinga mbaya kwa ndani sijui kwanini wamechagua hizo
Kwani ndege mpya zilitakiwa jumla ziwe ngapi kama tutafuata ilani.Inaweza kuwa masharti ya mikopo ya uviko.
So mna repair au mnaunda [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wakati ukililia, seco engineering Is dominating the east coast. Below boats are for Tanzania [emoji116][emoji116][emoji90][emoji90]View attachment 2014581View attachment 2014582View attachment 2014583View attachment 2014584
Ukweli kama hizi ndio hampendi mkiambiwamiddle class ya ndotoni labda kuhusu michezo hakuna mnachotuzidi landa mbio na kwenye diplomatic ndiyo kabisa usiguse ,hakuna mnachotuweza
Gari moja tu, mmeishajiona wajapan wa East Africa???? Waganda wanazo nyingi tu na hawasemi
Unatafuta pakutokea😂😂😂 onyesha wapi nimesema tumeiunda.So mna repair au mnaunda [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2014597
Kwa hivyo Corona was just limited to Kenya alone? Mibongo zinavyoreason inatia huruma. Nway, first quarter ya mwaka huu ilishashuhudia ongezeko la 10% already compared to the same period last year (which also recorded an increase as well from the previous year)Kwahiyo na corona ilivyowapiga unategemea cargo volume kuongezeka? Wakenya hamna akili.
Hilo gari lakwanza reminds me of lighting McQueen, gari Lina smile😁Gari moja tu, mmeishajiona wajapan wa East Africa???? Waganda wanazo nyingi tu na hawasemi
View attachment 2014598
View attachment 2014604
Hiyo reality baki nayo akilini mwako where it existshatupo kwenye paper sisi tupo in reality ,,hiyo kazi ya kupachika utopolo na kujiongezea mambo tumewaachia nyie wadogo zetu ili mfiche uchokoraa wenu
Sana sana hiyo nyumbu ya wenzetu kutoka south. Waganda walijaribu ila hawa malazy sijui walikuwa wanajaribu kufanya nini!We can all agree these cars are ugly😂💩View attachment 2014621View attachment 2014622
Nitajie kitu nimetaja hapo juu na ni uwongoAmeongea kwa hisia kali sana mpk kasahau kutaja njaa pia wanatuzidi[emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tano, Boeing mbili (dreamliner na cargo) Airbus mbili na dash 8 moja.Kwani ndege mpya zilitakiwa jumla ziwe ngapi kama tutafuata ilani.
Naona wamebadili order, wameondoa Airbus A220-300 wameweka Boing Max 737Tano, Boeing mbili (dreamliner na cargo) Airbus mbili na dash 8 moja.
Tatizo langu ni hizo Max zilizouwa watu mara mbili. Kumbuka hizi Max waliziharakisha ili washindane na airbus neo. Sasa baada ya kuzifanyia marekebisho ni bora tusubiri tuone kama kweli ziko vizuri.
Nashukuru kwa kukubali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unatafuta pakutokea[emoji23][emoji23][emoji23] onyesha wapi nimesema tumeiunda.