The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Hehehehee kapagawa anaokota picha za 90 na zingine co za Dar, tunaanza na hii, ona buga alilovaa jamaa, kijana gn wa Dar anavaa hivi, hii style ya pepekale enzi hizo sijazaliwa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Saa zingine huwa najiuliza mbona mimi hupoteza muda wako kuargue na wewe. Unavyo reason says lot about you as a person. So you've shifted gear from what you were saying earlier about Nairobi kujengwa na wazungu sasa unacgambua picha za barabara.
Bongolala, you are so desperate and stupid at the same time! First, you are comparing totally different pictures? Nani amekudanganya kwamba those footbridges are the same? Nairobi has so many footbridges just in care you didn't know. Thika road alone has more than ten of those, hapo hujaweka barabara zingine.
Lastly, alokuambia barabara za Dar hazina vumbi ni nani? Hizi hapa ni barabara za Nairobi?
View attachment 2013060View attachment 2013062View attachment 2013064View attachment 2013065
Stop being stupid and start reasoning for once!
Hehehehee unakataa Langata flyover leo, haya thibitisha kwamba hiyo siyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]You are so desperate. Hata kwa kuangalia tu, one can easily tell those are two different roads. Picha ya pili uliyoweka iko na underpass (Pangani underpass), picha noliyoweka haina underpass (Langa'ta Road). Meza wembe bongolala
Dar hukuti uchafu 😂 😂Tanzania tupo mbali sn kwenye usafi na ustaarabu, we angalia wamachinga walivyojaa kipindi kile kabla ya kutolewa alafu juwa kwamba hakuna dust bins sehemu nyingi lkn hukuti uchafu, mtu anazunguka na uchafu wake mpk apate sehemu ya kuutupa lkn co on road km hawa nyani wa Mama Ngina [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duh sasa pedestrians na cyclists wanapita wapi au ndio mambo ya post independence management [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naomba uweke majina ya hizo roads zote kama una balls, hakuna road safi Kenya na ya kiwango hata moja, ni mauchafu kushoto kulia, naanza na hii outering road a.k.a chinja chinja, angalia picha uliyoweka alafu uhalisia huu hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2013029View attachment 2013030View attachment 2013031View attachment 2013032
Hahahahahaaa, unaweka picha kuna lami kabisa, pasafiii, uchafu umekusanywa sehemu moja ukisubiri gari la uchafu, ona hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dar hukuti uchafu [emoji23] [emoji23]
View attachment 2013074View attachment 2013075View attachment 2013076View attachment 2013078
Sasa barabara mbona haina slabs or paving stones haya majanga au ndio upigaji wenyewe?Thika super highway without lipstick [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2013073
Wakenya hawana akili mkuu, hapo ilipigwa road sign zen wakaongopewa ni super highway, wanataka kushindana na kibaha the international highway.Sasa barabara mbona haina slabs or paving stones haya majanga au ndio upigaji wenyewe?