Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,217
- 35,602
Hili daraja kuna baadhi ya wakunya uwa wanadanganya watu liko kunyalandKigamboni Bridge imeshikilia rekodi ya daraja refu afrika mashariki na sasa rekodi imevunjwa na Tanzanite bridge,
Mwakani rekodi itavunjwa na Daraja la Kigongo Busisi Mwanza
But Kigamboni bridge remains beautiful View attachment 2011854
View attachment 2011855
View attachment 2011856
View attachment 2011857
View attachment 2011858
View attachment 2011859
View attachment 2011860
Yani mtanganyika anaamini 2.5m people can actually fit in an area measuring just over 2.5 sqkm!!View attachment 2012045
Kwahiyo leo unataka kufananisha Tz na Kenya kwa idadi ya miti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nairobi ikona Karura Forest, Ngong forest, Oloolua Nature trail and an Arboretum. Ebu tuambie Dar ikona nini kama hizi?Hapa hatuengelei bushes dada. We are talking of green species in the city.
I believe you know the role of trees in your environment. You are a human, right ?
Tuanze kuweka uchafu, ww weka wa Dar mm niweke wa Nairobi, mm naanza na ukijibu nakuuwa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakuna, maanake Nairobi haina uchafu kama huo.
Pia msisahau tunajenga Dodoma kwa pesa za pia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Cc hatuna mambo ya kishamba km nyie, tuna miradi mingi kuliko nchi yoyote East and Central Africa na haturingi.
Tuna SGR
Tuna BRT
Tunajenga bwawa kubwa la umeme
Tuna cable stayed bridges
Tuna ujenzi wa ferries
Tuna ujenzi wa big ship
Tunanunua ndege on cash basis
Tunajenga modern flyovers
Tunakarabati reli ya Tazara
Tunakarabati reli ya kati
Tunajenga fukwe
Tunajenga smelters
Tunakarabati Ports
Tunajenga modern airports
Tunajenga modern tarmac Roads
Tunanunua military equipments za kisasa sio used.
Tunajenga masoko ya kisasa.
Tunajenga modern bus terminals.
Yani list ni endless lkn vingine huwa hatuwaoneshi mpk vikamilike, na hata vikikamilika huwa tunaonesha mara chache tu tunapotezea cz cc co washamba km nyie, na usisahau 90% ya hyo miradi ni kwa pesa za ndani.
Hapo umeona ndege tu, ofcz pesa tunayo na ndiyo maana tumenunua on cash, nyie nchi nzima mna ndege 3chakavu cjui pesa za tax payers GoK inapeleka wapi, ooohh nimekumbuka zinaishia kwa mfuko wa Mama Ngina [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]2021 bado unabrag eti munanunua ndege cash.[emoji23][emoji23][emoji23] ushamba ni kitu mbaya sana walai.
Nyingine c hii hapa ya Tanzania [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
2021 bado unabrag eti munanunua ndege cash.[emoji23][emoji23][emoji23] ushamba ni kitu mbaya sana walai.
Juu siwezi onyesha yote na ikakuwa clear. Hiyo Masaki Penisnsula na Oysterbay area na Mbezi beach ndio Kidogo kuna miti ila 90% of Dar ni Mabati and concrete jungle. Hata hivo hiyo miti huwezi ukalinganisha na ya Nairobi. Tazama hii video ndio uelewe jinsi Nairobi ilivyo green.Dar ni kubwa sana ,
Dar zinaingia Nairobi 3 na ushee , I wonder you just crop a section to please your feelings..
Tazama hizi sehemu nyingine za dar zilivyojaa misitu na uoto Wa kijani View attachment 2012085
View attachment 2012086
View attachment 2012088
Hizo vitu zote umetaja zinapigwa one punch na LAPSSET alone.Cc hatuna mambo ya kishamba km nyie, tuna miradi mingi kuliko nchi yoyote East and Central Africa na haturingi.
Tuna SGR
Tuna BRT
Tunajenga bwawa kubwa la umeme
Tuna cable stayed bridges
Tuna ujenzi wa ferries
Tuna ujenzi wa big ship
Tunanunua ndege on cash basis
Tunajenga modern flyovers
Tunakarabati reli ya Tazara
Tunakarabati reli ya kati
Tunajenga fukwe
Tunajenga smelters
Tunakarabati Ports
Tunajenga modern airports
Tunajenga modern tarmac Roads
Tunanunua military equipments za kisasa sio used.
Tunajenga masoko ya kisasa.
Tunajenga modern bus terminals.
Yani list ni endless lkn vingine huwa hatuwaoneshi mpk vikamilike, na hata vikikamilika huwa tunaonesha mara chache tu tunapotezea cz cc co washamba km nyie, na usisahau 90% ya hyo miradi ni kwa pesa za ndani.
[emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hizo vitu zote umetaja zinapigwa one punch na LAPSSET alone.
Mlianza kujenga Dodoma 1974 lakini bado inafanana na Garissa.Pia msisahau tunajenga Dodoma kwa pesa za pia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna battle hapa tunawafariji tu mana wenzetu wanashida mno, kwa mfano sahizi asilimia kubwa ya wakunya tunao battle nao humu hawajala na wapo kwenye ma slums [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani huoni huyo kilaza anaongelea green species๐ ๐ ๐ ๐Nairobi ikona Karura Forest, Ngong forest, Oloolua Nature trail and an Arboretum. Ebu tuambie Dar ikona nini kama hizi?
Kweli wivu ni kitu mbaya, kumbe wanatamani Dar ikuwe na miti mingi kama Nairobi na venye walikuwa wanasema ni pori?Kwani huoni huyo kilaza anaongelea green species๐ ๐ ๐ ๐
Hamaanishi green spaces kama tulivyozoea hapa Nairobi