NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,284
- 19,628
Hivi hizi hapa ni sii rangi tofauti? Hivi hapa hamna kutu sio? 🤣 🤣 🤣Vi estate vyenu havina mvuto, vimekaa hovyo hovyo, vimebanana alafu pia bati zina rangi tofauti tofauti kama zege, nyingine zina kutu typical African estates, no wonder Dar ikaongoza kwenye suala zima la thamani kwenye real estate industry, pia Dom inakuja kumaliza kabisa competition ya real estate, si Nairobi wala Dar itafikia thamani ya real estate za Dom mana ni nzuri, modern na organized.
Hiki kibarabara nacho ninavyowajua mtakipost hadi 2050. 🤣 🤣
Ngoja The best 007 akwambia hapo sio Dar eti ni Kibera. Dar hakuna slum. Ni dreamhouses tu. 🤣 🤣Unataka bati za nyumba zetu ziwe na rangi moja ya kutu kama hizi dreamhouses zenu?
View attachment 2011848View attachment 2011849View attachment 2011851View attachment 2011852
View attachment 2011700
Uzuri sisi tunakubali Nairobi kuna slum na imeoccupy area ndogo sana ya jiji. Nyinyi mnakataa Dar hakuna slum wakati 90% of the city is a slum. 🤣 🤣Imagine watu milioni 2.5 kati ya milioni 4 nairobi wanaishi humu halafu wote wanakunya kwa plastic bags ..
Without clean water supply.
unajua sometimes Ng’ombe ana maisha mazuri kuliko binadamu View attachment 2011687
Membley ni kama mtaa wao wa kifahari kuliko zote Masaki. The only difference is that Membley haina apartments like MasakiMpatie za Membley na Kitengela. Both over 20km from CBD.
Yani mtanganyika anaamini 2.5m people can actually fit in an area measuring just over 2.5 sqkm!!Uzuri sisi tunakubali Nairobi kuna slum na imeoccupy area ndogo sana ya jiji. Nyinyi mnakataa Dar hakuna slum wakati 90% of the city is a slum. 🤣 🤣
Denial is in their DNANgoja The best 007 akwambia hapo sio Dar eti ni Kibera. Dar hakuna slum. Ni dreamhouses tu. 🤣 🤣
Alafu put in mind not the whole of Kibera is a slum. Sections such as Ayany can beat any Estate in Dar. Hiyo mimi nilichoka kuargue nao. Wacha waamini chenye wataamini. 🤣 🤣Yani mtanganyika anaamini 2.5m people can actually fit in an area measuring just over 2.5 sqkm!!View attachment 2012045
Honestly sioni kama Masaki inaweza fikia Membley. Masaki is poorly planned with mixed and sometimes badly maintained houses. Just watch this video and tell me is Masaki can match Membley. Remember Membley is not even among the top 20 best Estates in Nairobi.Membley ni kama mtaa wao wa kifahari kuliko zote Masaki. The only difference is that Membley haina apartments like Masaki
MembleyView attachment 2012027View attachment 2012028View attachment 2012029View attachment 2012030View attachment 2012031View attachment 2012041View attachment 2012042View attachment 2012034View attachment 2012035View attachment 2012037View attachment 2012038
And mind you Membley is one of the neighborhoods we rarely mention here
View attachment 2012036
Hii nayo c ni Dar au unasemaje [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unataka bati za nyumba zetu ziwe na rangi moja ya kutu kama hizi dreamhouses zenu?
View attachment 2011848View attachment 2011849View attachment 2011851View attachment 2011852
View attachment 2011700
But what is these guys obsession with density though? I actually prefer a city with space and trees and many Nairobians complain when trees are cut to pave way for buildings. The most revered parts of Nairobi are actually the areas with least density such as Muthaiga, Karen, Gigiri et al. That Kariakoo thing would be an eyesore elsewhere. These guys have a weird way of understanding city planning. [emoji1787] [emoji1787]
Hii ngoma rekodi yake ishavunjwa na Tanzanite cable stayed bridge kwa urefu na uzuri, alafu tunasubiri kigongo Busisi tuone kama itatoshana na Tanzanite bridge, nna uhakika kigongo Busisi itaipiku Tanzanite bridge kwa urefu lkn co uzuri.Kigamboni Bridge imeshikilia rekodi ya daraja refu afrika mashariki na sasa rekodi imevunjwa na Tanzanite bridge,
Mwakani rekodi itavunjwa na Daraja la Kigongo Busisi Mwanza
But Kigamboni bridge remains beautiful View attachment 2011854
View attachment 2011855
View attachment 2011856
View attachment 2011857
View attachment 2011858
View attachment 2011859
View attachment 2011860
Hehehe estates za Dar hazina lami.Ni mjinga tu kama ww ndio u aweza sema upuzi kama ...huo na kifupi ....hatuna haja ya kuwa na makota mengii kama nyie msio wezabkumilik ardhi...sisi kila mtu atajenga kwa dream yake ..kikubwa ni mipango miji tuuu...kama hivi[emoji116]View attachment 2011464View attachment 2011473
Uzuri sisi tunakubali Nairobi kuna slum na imeoccupy area ndogo sana ya jiji. Nyinyi mnakataa Dar hakuna slum wakati 90% of the city is a slum. [emoji1787] [emoji1787]
So ww na wazungu waliotengeneza satellite nani mwenye akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Reasoning ya kibongo ni ajab. Unataka nizoom nione hadi ndani ya dreamhouse inavyokaa ama?
Ayany primary school, Kibera slumAlafu put in mind not the whole of Kibera is a slum. Sections such as Ayany can beat any Estate in Dar. Hiyo mimi nilichoka kuargue nao. Wacha waamini chenye wataamini. 🤣 🤣
Ambia huyo mzungu akurudishie angalau akiliSo ww na wazungu waliotengeneza satellite nani mwenye akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Don't make me laugh. 🤣 🤣 🤣Nairobi has less trees density when compared to Dar.
Ukiondoa some parts of Dar CBD na Kariakoo ambako miti mingi Ilikatwa kupisha ujenzi Wa majengo, the rest of Dar is full of trees Natural and established ones.
Huku huwezi kata mti without a permit..
Nairobi ni nyika with few acacia trees, A typical of African savanna grasslands characterized by short thorny bushes,
Hiyo miti kidogo you tried to establish.
Dar has more trees (natural) than nairobi as a lowland area with well established trees and patches of forests.
Over 99% miradi yote ya Kenya ni foreigners, na kati ya hiyo 90% ni wachina so jiandaeni kisaikolojia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo investor ni mkenya bongolala. Unafikiri huku kwetu tunangoja serikali kutufabyia kila kitu jinsi nyingi malazy hufanyiwa? Kisha mkishashindwa mnajaza jiji na uswazi?
Onesha mahali kama hapo Nairobi au sehemu yoyote East and Central Africa niondoke jamii forums.Nairobi mahali kama hapa ni residential. Sio commercial. Ondoa huu uchafu hapa.