Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I see everything in it,
Westlands, cbd, upper hell in one photo. View attachment 2011604
Ukiwaambia hivyo wanalia, ila mkuu licha ya kuona Westland, CBD na upper hill in one shot pia hebu angalia hili vundo mkuu, hapa ndipo over 90% ya Wakenya halisi wanaishi, onaa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unajfariji sasa. Before even Times Tower was built and Upperhill and Westlands skylines were nonexistent!! Huu ni wa mwaka gani bongolala?
wamefinywa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ’ͺ πŸ’ͺ πŸ’ͺ ., wanateseka sana..,
 
Hatuezi andika kwa mate na wino ipo
View attachment 2011618

1990’s Photograh ,
Dar is changing so fast and as you may be aware we have built Dar from scratch,
Nairobi was better those days as it was well planned and built by colonialists. Nyie mmeiharibu na maslums mobu.

This is 2021 Dar 15kms from cbd


 
Vi estate vyenu havina mvuto, vimekaa hovyo hovyo, vimebanana alafu pia bati zina rangi tofauti tofauti kama zege, nyingine zina kutu typical African estates, no wonder Dar ikaongoza kwenye suala zima la thamani kwenye real estate industry, pia Dom inakuja kumaliza kabisa competition ya real estate, si Nairobi wala Dar itafikia thamani ya real estate za Dom mana ni nzuri, modern na organized.
 
Hizi πŸ‘‡ πŸ‘‡ zenu ndio ziko na mvutio eti?.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ hiyo report tunai challenge mchana peupe with facts
Mitaa ya Tanzania yenye mvutio vimekaa sawa sawa
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚



 



Hilo vundo hapo sipati picha Hilo fukuto la harufu *****.
Ukizingatia jamaa sio tu wanategemea vyakula vya misaada, hata maji pia wanategemea misaada
Imagine watu milioni 2.5 kati ya milioni 4 ya wakazi wa nairobi wanaishi humo na kunya kwenye plastic bags .. dah
 

Imagine watu milioni 2.5 kati ya milioni 4 nairobi wanaishi humu halafu wote wanakunya kwa plastic bags ..
Without clean water supply.
unajua sometimes Ng’ombe ana maisha mazuri kuliko binadamu
 
eti Dom.., did u know the whole of kenya ni SA pekee ndio mpinzani in subsaharan Africa kwa real estate? ama unapinga?.., nyie bado sana., kama ni zile nyumba 1000 za dom., vitu za ovyo ata huyu dada amejaribu na nyumba zake mia mbili.., mtu binafsi kwa bidii yake.., eti Dom πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚hakuna mji nje ya Dar iko na real estate value zaidi ya Kiambu, Machakos, |Kajiado, Kisumu, Mombasa, Nax Vegaz na Eldoret.., hakuna hata moja...,

Mtu moja tena mwanamke anajenga nyumba za high standard tena ni 200, Serikali ya Tz inajenga 1000 pekee in Dom, mifukara inashangaa shangaa na kufikiria imefika πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚





 
Imagine watu milioni 2.5 kati ya milioni 4 nairobi wanaishi humu halafu wote wanakunya kwa plastic bags ..
Without clean water supply.
unajua sometimes Ng’ombe ana maisha mazuri kuliko binadamu View attachment 2011687
Yaani zenu normal ni hovyo sana.., ni kibera mtatumia kujiliwaza humu, hamuna pa kutokea nyinyi., tumewabana kote kote., jiliwaze na Kibera.., video clip hiyo hapa, tafuta kahawa chungu na njugu unywe ukitizama.., mko hovyo kote kote πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…