Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

narudia tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
narudia tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
tuseme hapo sio CBd πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani majengo ya CBd yanaonekana unasema mm muongo kweliiiii
 
alafu watakuambia Mwanza ni city.., kwanza street level ya hiyo suburb ni vumbi πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ umepanic tayari swali langu lilikukimbiza mbona hujibu sasa
 
what is special in Danganyika? nothing.., truth remains we are above u ata kama ni 1% tu.,
Kamwe hamuiwezi DSM kwa lolote,
narudia tena mlichotuzidi ni mapicha picha kwa wingi,interchange za mashambani zisizokuwa na tija ya msingi,pia kujaza data zisizolingana na uhalisia wa maisha yenu halisi on on paper na kwenye website
 
Hakuna Tudor (Chuda) anywhere humu., kwanza uko na bahati sana Mombasa ime restrict photography sana., Tudor na nyali na sehemu fulani CBD hakuna aerial view, drone marufuku, picha utapiga kiujanja ila ukishikwa ni balaa.,
Sehemu chache za Tudor hizi hapa., Kenya sio size yenu, Tz has one city, hilo liko wazi., zoea ukweli.








 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ umepanic tayari swali langu lilikukimbiza mbona hujibu sasa
"Mr. Umepanic" neno "umepanic" ni the only language u know ukikosa jibu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kamwe hamuiwezi DSM kwa lolote,
narudia tena mlichotuzidi ni mapicha picha kwa wingi,interchange za mashambani zisizokuwa na tija ya msingi,pia kujaza data zisizolingana na uhalisia wa maisha yenu halisi on on paper na kwenye website
jikune kune kaka., unaumwa sehemu., ukweli ni mzito na ni chungu kwa mtanzania πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Nikiona watu wanaishi Nyumba hizi huwa natokwa machozi. Huku JF Don YF anajitapa hakuna vumbi MombasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚View attachment 2006790
Since when Mombasa had red soil? nimekukanya usizoee kutumia google kiholela husikii, dhibitisha picha kwanza, ni Kibera tu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Dodoma je?.., ufukara wa kipekee, living like Baboons, yaani hamujiwezi, nature is taking care of u., afadhali slum dweller wa Kenya anajitafutia, ni hustler na kuna wengi wanaomoka(wanapenya).., hiki kizazi chenu kiko chini ya giza! muwe na kila kitu, nchi kubwa yenye rotuba na bado mko below!!


 
Hizi ni picha zimechukuliwa kwa umbali hazionekani vizuri, camera lense ovyo, wewe ndio umepanic, unatafuta kujiliwaza tu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
wacha nionyeshe kwa karibu., same places unaonyesha hapa kwa umbali ili kueneza propagnda zako ili kupotosha wasio jua ukweli wewe ni mwehu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ..,

CBD









Old Town
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…