Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Google map indicate by writing "Slums" onyesha wapi Google map imeandika slums Kama ambavyo imeandika hapo Nairobi

Hivi kwanini wakenya hamtaki kuweka picha za karibu ambazo zinaonyesha kila kitu hata kuku au sanitation system Kama picha za Kibera Zima yoonekana, hadi mbwa aliyΓ©lala anaonekana, wacheni woga kwa kuweka "invisible photos"
 
Nax Vegas inatesa..,
Nje ya Dar haupati such levels, Nakuru City ni πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ Ndio maana GDP we almost double Tz., standard development kote kote..,
1636467431599.png

1636467488037.png

1636467515289.png

1636467585453.png

1636467552033.png
 
Weka google reference ya slums za Dar please, sisi sio Kunyaland a country synonymous to slums
Kayole vs Mwanyamala slums
Kayole has estate roads as you can see from google maps, mwanyamala barabara ziko wapi? Yani hadi nyuma ya zile ghorofa za bagmoyo ni slums tupu.

Screenshot_20211109-171641.png

Screenshot_20211109-171922.png
 
Google map indicate by writing "Slums" onyesha wapi Google map imeandika slums Kama ambavyo imeandika hapo Nairobi

Hivi kwanini wakenya hamtaki kuweka picha za karibu ambazo zinaonyesha kila kitu hata kuku au sanitation system Kama picha za Kibera Zima yoonekana, hadi mbwa aliyΓ©lala anaonekana, wacheni woga kwa kuweka "invisible photos"

Mnapata taabu sana.., mnajiliwaza na Kibera na niko na uhakika kuna wakazi huku are living far better than u guys πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kibera ya sasa na ukweli wake., video clip hii hapa πŸ‘‡ .., na wasio na data few pics below.., wivuu itawanyonga
πŸ˜‚ πŸ˜‚ 😍 😍

Picha kwa mifukara ya data..,
1636467981457.png

1636468099938.png

1636468189332.png

1636468303455.png

1636468232521.png
 
Kayole vs Mwanyamala slums
Kayole has estate roads as you can see from google maps, mwanyamala barabara ziko wapi? Yani hadi nyuma ya zile ghorofa za bagmoyo ni slums tupu.

View attachment 2004506

View attachment 2004508
Pia kibera leo hii imewekea tarmac road na bado kuna ile missing link ya ku connect Lang'ata road na upperhill under construction cutting through.., Mitanzania inapata tabu sana, they are picking old photos za kibra kujiliwaza πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Mnapata taabu sana.., mnajiliwaza na Kibera na niko na uhakika kuna wakazi huku are living far better than u guys πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kibera ya sasa na ukweli wake., video clip hii hapa πŸ‘‡ .., na wasio na data few oics below.., wivuu itawanyonga πŸ˜‚ πŸ˜‚ 😍 😍

Picha kwa mifukara ya data..,
View attachment 2004509
View attachment 2004510
View attachment 2004511
View attachment 2004513
View attachment 2004512

Sasa ni wakati mwafaka wa kutuambia majina ya slums ndani ya Dar.
Naona unaweweseka tu.
Miaka 6 mnatafuta slums Dar hamjazipata.
 
Pia kibera leo hii imewekea tarmac road na bado kuna ile missing link ya ku connect Lang'ata road na upperhill under construction cutting through.., Mitanzania inapata tabu sana, they are picking old photos za kibra kujiliwaza πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
We are talking about Nyumba za mabati.
AKA Slums
 
Back
Top Bottom