Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I only speak with facts, me siropokwi kama wengi wenu hapa.
 
Vipi mnapokea misaada ya chakula toka nchi mbalimbali?
 
Eti malnutrition affects what???😂😂😂😂 International radiologist nenda ukalale.
 
tembea ujionee huwa hatunaga mda na link zisizo hakisi uhalisia,

eti Tz ina hunger kuliko kenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

ndoto siyo nzuri wenzako tumetembea na tunaijua hiyo kenya kiasi chake kwa upande wa vitu vyote muhimu
 
What do you know about malnutrition?
 
I only speak with facts, me siropokwi kama wengi wenu hapa.
hauna fact yeyote zaidi ya link uchwara zizizo akisi ukweli na uhalisia wa mambo,

yaani Tz inanjaa kuliko kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna fact gani hapo,haujioni kuwa wewe ni kichaa
 
It leads Africa even in poverty
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…