Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tabia za namna hii zipo sana Kenya makanisa yanageuzwa majukwaa ya siasa.
 
Nikiangalia hizi issue za formal economy huwa natokwa na machozi
View attachment 2002912
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] nimecheks sana ,huyo mzee wa formal economy ukimuuliza kwenye wiki huwa anaenda mara ngapi kununua bidhaa kwenye mall inawezekana akakosa jibu au akaongopa,

maana kuna tofauti kubwa sana kati ya mzururaji kwenye mall na mnunuzi bidhaa kwenye mall
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…