The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Kwani wewe unataka kushindana na bidhaa za Azam au unamaanisha nini, mana Azam hawezekani East and Central Africa, ma shelves yenu yamejaza bidhaa zake na ndiyo bidhaa zilizo standard zaidi East and Central Africa, mtu kama anayo ile tweet inayoonesha zawadi waliyopewa Azam kama brand yny standard kubwa aweke hapa tummalize huyu mbwa anayejifanya cartoon..
Hahaha [emoji23][emoji23][emoji23] Idea ziliisha wakaona tu waandike jina kubwa ya Energy Drink.
View attachment 2001287
View attachment 2001288
sio bure tz inaitwa bongo. mara ramani ya tz inakaa kama kichwa ya mwanaume mwenye masharubuHuko mlikofika sisi tulishatoka miaka mingi mno. Tanzania hayo mambo ni normal
View attachment 2001327
View attachment 2001331View attachment 2001330
View attachment 2001336
Naona umeibuka mtoto wa mama Ngina.Wueeehhhhh Maziwa nusu liter ni 72 shillings. 😱😱
Unaruka ruka kama mwehuWueeehhhhh Maziwa nusu liter ni 72 shillings. 😱😱
Sukari kilo moja ni pesa ngapi? Kumbe munaumia 🤣😂🤣 bei ya basic commodities ziko juu kuliko Kenya na vile mkona mshahara mdogo. Poleni sana majirani.Unaruka ruka kama mwehu
View attachment 2001405
View attachment 2001409
View attachment 2001410
View attachment 2001411
Danganyika is a shit-hole countryView attachment 2001403
Kila hoja ntarukia leo. Nataka kuwanyoosha'Mganga hodari toka Tanga' 😆😆 waTz kwa ubora wao View attachment 2001406 ni mapenzi na pesa ndo hoja/maudhui kuu humu😂
Tulete bei ya sukari wewe.Kila hoja ntarukia leo. Nataka kuwanyoosha
View attachment 2001419
View attachment 2001420
View attachment 2001421
Usihamishe mada. We are talking about drinks.Sukari kilo moja ni pesa ngapi? Kumbe munaumia 🤣😂🤣 bei ya basic commodities ziko juu kuliko Kenya na vile mkona mshahara mdogo. Poleni sana majirani.
Acha kuhamisha mada. Kama umeshindwa kwenye drinks sema tuhamie kwingineTulete bei ya sukari wewe.
Nataka leo unyoke kabisa uache ujinga aliowapa mama NginaTulete bei ya sukari wewe.