The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
We unaona nn hapa mana mm naona pori na vibanda kadhaa vya wanyonge.Kisumu ni mji mkubwa sana most pictures huonyesha cbd pekee side ya lake kisumu imedevelop away from the lake just a picture here na hapo cbd hakuna and many other parts
View attachment 2000268
Hii picha hujaitoa kwenye movie ya Yesu hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kisumu ni mji mkubwa sana most pictures huonyesha cbd pekee side ya lake kisumu imedevelop away from the lake just a picture here na hapo cbd hakuna and many other parts
View attachment 2000268
Kisumu c ndiyo hii inakaa Jerusalem ya Yesu [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuja ground utashangaa hiyo mwanza yenu haifikii kisumu infrastructure wise. Alafu hapo kwa tall buildings i guess ni juu ya geographical region hata arusha naona ina maghora ndefu kuliko mwanza as eldoret beats kisumu in tall buildings common sense pals
Hata KDF tunaambiwa ina nguvu!
Mabilionea 6,000 alafu Africa nzima ina mabilionea 140,000 alafu kuna watu wanataka kushindana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aisee,hii kali kumbe Tanzania kuna matajiri hivi!???duh!
The CitizenNews
Tanzania is home to nearly 6,000 billionaires
FRIDAY NOVEMBER 05 2021
ADVERTISEMENT
By The Citizen Reporter
More by this Author
Dar es Salaam. There are close to 6,000 billionaires in Tanzania engaged in different businesses such as mining, industrial trade, financial sector, telecommunications, tourism and real estate. This was brought to light earlier today by Finance Minister Mwigulu Nchemba during a parliamentary session in the country's capital Dodoma.
According to the Minister, 115 of the 5740 billionaires have a net worth above $30 million, categorized as Ultra High Net Worth Individuals, and account for 28% of the total net worth of Tanzania's billionaires.
Nchemba was responding to a question raised by Mlalo Member of Parliament, Rashid Shangazi, and took the opportunity to further explain that the government through its revenue collecting authority TRA has a registry of most of these billionaires and collects taxes from them according to the law.
Africa as a continent is home to 140,000 billionaires, accounting for just 1% of the
global billionaires tally
The CitizenNews
Tanzania is home to nearly 6,000 billionaires
FRIDAY NOVEMBER 05 2021
ADVERTISEMENT
By The Citizen Reporter
More by this Author
Dar es Salaam. There are close to 6,000 billionaires in Tanzania engaged in different businesses such as mining, industrial trade, financial sector, telecommunications, tourism and real estate. This was brought to light earlier today by Finance Minister Mwigulu Nchemba during a parliamentary session in the country's capital Dodoma.
According to the Minister, 115 of the 5740 billionaires have a net worth above $30 million, categorized as Ultra High Net Worth Individuals, and account for 28% of the total net worth of Tanzania's billionaires.
Nchemba was responding to a question raised by Mlalo Member of Parliament, Rashid Shangazi, and took the opportunity to further explain that the government through its revenue collecting authority TRA has a registry of most of these billionaires and collects taxes from them according to the law.
Africa as a continent is home to 140,000 billionaires, accounting for just 1% of the global billionaires tally
Tanzania is home to nearly 6,000 billionaires
There are close to 6,000 billionaires in Tanzania engaged in different businesses such as mining, industrial trade, financial sector, telecommunications, tourism and real estate.www.thecitizen.co.tz
Na ajabu,huwezi kumgundua mtanzania Kama ni billionaire, they don't show off.nilichogundua Hapa, watanzania wengi wanamiliki uchumi wao wenyewe tofauti na nyani wa kaskazini.Mabilionea 6,000 alafu Africa nzima ina mabilionea 140,000 alafu kuna watu wanataka kushindana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ajabu,huwezi kumgundua mtanzania Kama ni billionaire, they don't show off.nilichogundua Hapa, watanzania wengi wanamiliki uchumi wao wenyewe tofauti na nyani wa kaskazini.Mabilionea 6,000 alafu Africa nzima ina mabilionea 140,000 alafu kuna watu wanataka kushindana
Sent using Jamii Forums mobile app
We need action. Hizo stories tumechoka.
Alafu ndio kuna watu humu walikuwa wanasema eti Ethiopia inaweza kupigana na Egypt [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naomba wadau mnisaidie,mbona huwa tunaambiwa Ethiopia ina jeshi lenye nguvu kuliko hata la Kenya Kama wanavyojitapa humu,vp wapigwe na TPLF Kama watoto?
Nadhani kwa sababu ni vita ya wenyewe kwa wenyewe. What if some Tigray people are also in the Army!?Naomba wadau mnisaidie,mbona huwa tunaambiwa Ethiopia ina jeshi lenye nguvu kuliko hata la Kenya Kama wanavyojitapa humu,vp wapigwe na TPLF Kama watoto?
Kipimo cha nguvu ya jeshi co ranks bali ni ushindi wa jeshi linapokuwa vitani mzee, ss jeshi halijawahi kushinda hata vita ya kuku unawezaje kuifananisha na jeshi lililoshinda vita kadhaa? kuna mengi wazungu wanaongopa, hata kipimo cha uchumi mkubwa co GDP bali ni maisha bora kwa raia mfano security, peace, education, good, stable and quality infrastructures, food availability, freedom etc.Ndo nauliza,wakunya huwa wanajitapa humu kuwa KDF Wana nguvu,Kama Ethiopia,mbona Sasa wanapigwa na ka kikundi Kama TPLF within one year?hivi nguvu za jeshi kipimo chake nini Kama sio mwenye battle field?
Inategemeana na aina ya vita yenyewe. That is a conflict within a country. It's more or less like a civil war.Ndo nauliza,wakunya huwa wanajitapa humu kuwa KDF Wana nguvu,Kama Ethiopia,mbona Sasa wanapigwa na ka kikundi Kama TPLF within one year?hivi nguvu za jeshi kipimo chake nini Kama sio mwenye battle field?
[emoji23][emoji23][emoji23]Kipimo cha nguvu ya jeshi co ranks bali ni ushindi wa jeshi linapokuwa vitani mzee, ss jeshi halijawahi kushinda hata vita ya kuku unawezaje kuifananisha na jeshi lililoshinda vita kadhaa? kuna mengi wazungu wanaongopa, hata kipimo cha uchumi mkubwa co GDP bali ni maisha bora kwa raia mfano security, peace, education, good, stable and quality infrastructures, food availability, freedom etc.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waache maneno mengi wafanye vitendo, tumechoka maneno bila vitendo, hapa nasubiri kuona mradi waliosema watafanya huu wa kariakoo ndipo nitawapima, Mana awamu hii naona imeanza kuleta maneno bila vitendo kama awamu zilizopita kabla ya awamu ya 5.
Ndiyo nmetoka kusema hapa mkuu kumbe na wewe umeona ee!! Awamu hii maneno maneno mengi sn, mpk ss hakuna mradi wa kueleweka imefanya zaidi ya kutamba na ile iliyoachwa na awamu iliyopita.We need action. Hizo stories tumechoka.
Kwenye jeshi hakuna maala mta comment.[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe... Kwa hiyo sisi raia wa nchi ambazo hazijawahi kupigana vita tunacomment wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23]
yap na ule wa Mwanza pale Kirumba ukipewa $10-15 mln unaweza kuwa kama wa Mkapa ukiangalia vizuri unahitaji modernization ya vitu kama paa, vyoo, VIP lounges, changing rooms na ile pitch inaweza kuwa lowered then ile distance ya jukwaa mpaka pitch inaongezwa sehemu za kukaa na kuongeza idadi ya mashabiki mpaka 40,000 kiurahisi!Things I love to see. Wafanye the same to Football stadiums.. Dodoma & Mbeya