Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimemwambia jamaa tushindanishe ARUSHA na Kisumu kwa majengo yenye zaidi ya ghorofa kumi. Mana mchizi anadai sisi tuna city moja, nataka nimuonyeshe kwamba jiji lao la tatu ukishindanisha na jiji letu sie tunaibuka washindi
Lishamba likiona vigorofa virefu vichache sasa mji unaitwa city.., this the stupidity I was trying to point out yenya Tz and Uganda have πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
So Eldoret ni City pia kwa hizi akili zako kwa ajili iko na magorofa zaidi ya 10 floors., ata ya over 20 floors pia iko nayo!..,

Kwa mujibu wa akili za kitanzania naitangaza Eldoret rasmi kama City na sio town tena..., many others to follow suit πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚










 
Both cities combined bado haziwezani na ARUSHA alone πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. naona umetafuta usaidizi lakini wapi ... Kisumu+Eldoret=Arusha
 
Both cities combined bado haziwezani na ARUSHA alone πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. naona umetafuta usaidizi lakini wapi ... Kisumu+Eldoret=Arusha
Tz has one city najaribu kukuonyesha vile mko na upuzi wa kupindukia.., even Mwanza haiwezi karibia Eldoret in standards.., pengine uwe tu kipofu.., yaani blind patriotism, kutetea ujinga ndio unajaribu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ hizi makazi zimeshinda sehemu nyingi za Dar-kabul-salaam






 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…