Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sisi tayari tunafanya dialysis kwenye majimbo. Nyinyi mnasubiri hadi 2025? Mpo nyuma sana.
Kenya services ziko hadi kwa sub county hospitals (Level 4) equivalent to District Hospital in TZ.
Kenya ikona 360 Dialysis machines kwa public hospitals. TZ hata 100 hawajafikisha, juzi tu Saudi Arabia imewapea donation ya 60 machines. Lakini mdomo wanapiga hapa while displaying their ignorance inanifurahisha, they are very good entertainers. 😂😂😂😂
 
Sisi tayari tunafanya dialysis kwenye majimbo. Nyinyi mnasubiri hadi 2025? Mpo nyuma sana.
Hahahaha, ninyi County Hospitals zenye kufanya Renal dialysis hazizidi 10?, Please prove me wrong,,,[emoji23][emoji23]
 
Hahahaha, level four huku kwetu ni sawa na Reginal Hospitals ambazo ndio hizo zinakaribia zote kufungwa dialysis machines.

Kitu kimoja unashindwa kutofautisha Kati ya idadi ya mashine zilizopo na idadi ya Hospitali zinilofungwa,

Tanzania tunasambaza huduma hadi vijijini wakati huko kwenu kila kitu kipo Nairobi pekee, zaidi ya 60% ya Renal dialysis machines zipo Kenyatta National Hospital, by the way prove that Kenya has 360 and Tanzania less than 100[emoji23][emoji23]
 
Jana nilishangaa sana kuona mtu akiandika "MRI machine is very expensive" Kenya ni nchi maskini haiwezi afford hata tano. 😂😂😂 Lakini sio pia kuonyesha dunia vile nyinyi ni masikini in the way you reason. Funikeni aibu kidogo.

 
Poleni sana mayatima wa Pombe.
 
Kumbe hujui kwamba kwenye hili tumewapiga? Tatizo leo niko busy sana. Lakini najua nitapata muda na nitakuja kupost evidence hapa. Kwa sasa fuatilia evidence ambayo nairobae anapost.
Don't bother, hii issue tulishamaliza. Walikubali hawana vifaa.
 
Taja Hospital 5 zenye MRI machine in Kenya please [emoji23][emoji1] the
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…