The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Hapa ingekuwa Kunyaland wangeanza kuchimba chimba cjui nani kawaambia habari za kuchimba chimba, yn utakuta sehemu haina haja ya kuchimbwa ila lazima wachimbe, jamaa ni local sana.View attachment 1998803
Coco Mihogo
Deputy Minister for Education Science and Technology Omary Kipanga.
Na nakwambiaje bro western countries hawafikii viwango vya maendeleo vilivyowekwa na wachina nchini mwao, maisha ya mmarekani wa kawaida ni hovyo zaidi ukilinganisha na maisha ya mchina wa kawaida,Kaka, hawa jamaa wako mbali sana ila vipimo vya maendeleo walivyojiwekea wazungu vinawabeba.
Ni kweli tujifunze kutoka kwao, maendeleo waliyoyafanya ni kutokana na kujiwekea vipimo vyao vya maendeleo. Mfano waliona reli badala ya ndege itawatoa kwa kuwa kwenye reli watatumia sheria zao, wakati usafiri wa anga unatumia sheria za kimataifa, hivyo ni rahisi kubanwa na wengine.
ati 7 storeys mbona naona one storey? au nimekuwa kipofu?CDF Funds well utilized. 👏
Translation: Majengo saba za ghorofa.ati 7 storeys mbona naona one storey? au nimekuwa kipofu?
Wasamehe tu hawa wenzetu.ati 7 storeys mbona naona one storey? au nimekuwa kipofu?
Na nakwambiaje bro western countries hawafikii viwango vya maendeleo vilivyowekwa na wachina nchini mwao, maisha ya mmarekani wa kawaida ni hovyo zaidi ukilinganisha na maisha ya mchina wa kawaida,
Ndani ya marekani kuna homeless pp like in each and every city .. road traffic congestion kila mahali, no enough rail roads, insecurities and mind you US has only 10 mega cities.. nenda Angalia China Iko na majiji makubwa 100 na kila jiji lina usafiri na usafirishaji wa kutosha, uzalishaji wa kutosha, amani, usafi, maendeleo ya jiji zima (no homeless people) .. haitoshi wachina walivyonoma kuonyesha kwamba they are the top majiji maarufu duniani wanayatengeneza kwao kama yalivyo. Mfano Paris, London na mbadala wa Dubai .. 👇PARIS in china.. London bridge in china 👇. . Chinese Dubai 👇 .
Kutana na massive infrastructure ambazo dunia nzima zipo china tu .. THE LONGEST OCEAN CROSSING BRIDGE IN THE WORLD, it's 55 km Long 👇. It's done in only 8 good years .. THE WORLD'S BIGGEST INTERNATIONAL AIRPORT.. DAXING 👇 . THE WORLD'S Largest high speed train station. 👇 .
Alafu skiliza hapa wazungu wa kawaida tu waliopata nafasi ya kuitembelea china na kujionea kila kitu kwa macho yao wanavyoizungumzia china na maendeleo 👇. Alafu atokee fala aseme china sio developed country 😂😂😂 . Eti Australia Iko mbele ya china kimaendeleo 😂😂😂.. naakati inafanya vitu hata hao wanaojikweza kuwa super power hawajawahi na hawatoweza kufanya
Vipi Level 4 Hospital umeweka ngapi!?Translation: Majengo saba za ghorofa.
Mkinunua vifaa nitafute.Vipi Level 4 Hospital umeweka ngapi!?
Nimekupiga KO umeenda kwa mama Ngina kunywa chang'aa.
🤣🤣🤣
ndo maana madaktari wenyu wameanguka exam ya lugha!Translation: Majengo saba za ghorofa.
Yaani mama Ngina kawaroga 🤣🤣🤣Ume comment kinyonge sana.Mkinunua vifaa nitafute.
Storey = singularndo maana madaktari wenyu wameanguka exam ya lugha!
View attachment 1998846