Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa 30billion usd investment of lpg plant in lindi tanzania kazi imeanza 😀😀😀
Macho kodooooo😛😛😛😛
View attachment 551566
  • ichoboy naomba hii habari uitengenezee thread. Heading kama ilivyo kwenye gazeti. Tuipate habari vizuri.
    downloadfile-96.jpeg
 
Wakenya ni watu wa ajabu sana, wamejenga jiji moja tu nchi nzima.
Kwingine ni almost pori, hawana hata miji iliyoendelea kama vile Moshi, Dodoma, au Morogoro weka kando majiji ya Arusha na mwanza.
Ubaguzi unawafanya wa accumulate potential zote Nairobi pekee.Kama Tanzania tusingekuwa na akili ya kuendeleza maeneo mbalimbali ya nchi na kuishia kujenga jiji moja pekee, hilo jiji lingekuwa kama NYC.
Lol ....isnt ignorance funny

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lol....this thread is about Nairobi vs Dar.......why are Tanzanians complaining about our other cities. This Charlot should visit the Thika vs Dodoma thread aone hiyo kitu wanaita dodoma vile ni jina tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom