President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,631
- 94,237
Hebu naomba nipe explanations kuhusu hiki:-Wacha kupotosha umma. That building you posted above is not the sane as this one. Look at the surrounding areas then compare with the one you posted above View attachment 1994536
Sisi hatuna naibu rais(Deputy)Naambiwa hii hlitumika anymore. Kwamba shuguli zote zilahmisha Real Towers.
Alafu mbona unataka nikubali wakati hukubali tumewapiga kwenye ofisi za Rais, naibu wa Rais na wizara ya fedha?
Woiiiii you an example of a clever fool. 😂😂😂 You pretend to know everything but you know very little and the little you know is wrong.Ngoja nianze kukuumbua kidogo kidogo.
Usishindane na mtu Mwenye elimu kubwa kama mimi kwenye Technology. Nenda shule mwanangu.
Aliye post hii video anaitwa Adam James, jamaa kutoka Kenya.
Nakusubiri tuanze vita hapa.🤣🤣🤣
Anaweza kukutumia location alipo kwa sasa.
Nipe ya makamu wenu wa raisSisi hatuna naibu rais(Deputy)
Sawaa me nimekubali.. kwahyo umekubali Takwimu na Idara ya maji tumewapiga.?Naambiwa hii hlitumika anymore. Kwamba shuguli zote zilahmisha Real Towers.
Alafu mbona unataka nikubali wakati hukubali tumewapiga kwenye ofisi za Rais, naibu wa Rais na wizara ya fedha?
Hebu tuambie brand name ya hizo Milk ATMMilk ATMs zinatengezwa kenya acha uongo wako hapa
Hapo sawa. So far Kenya (3) Tanzania (2)Sawaa me nimekubali.. kwahyo umekubali Takwimu na Idara ya maji tumewapiga.?
Unatakiwa uelewe kwanza how The United Republic of Tanzania operate.Nipe ya makamu wenu wa rais
President, Vice President and Prime Minister, office zao zipo State House.Hapo sawa. So far Kenya (3) Tanzania (2)
So kama unataka kwa lengo la kujifundisha nitakuelimisha.Nipe ya makamu wenu wa rais
Kwahiyo ukiona kibao cha shule kimeandikwa Ofisi ya Raisi Tamisemi utasema ni ofisi ya Raisi uliza uelimishweMbona basi ikaandikwa ofisi ya makamu wa Rais?
Hawa jamaa exposure yao ni ndogo sana.Kwahiyo ukiona kibao cha shule kimeandikwa Ofisi ya Raisi Tamisemi utasrma ni ofisi ya Raisi uliza uelimishwe
Inafanana na high school.So kama unataka kwa lengo la kujifundisha nitakuelimisha.
Tanzania is The United Nation.
Tuanze na state house.
This is Dar ea salaam state house:-
View attachment 1994599
View attachment 1994600
Kwani ni wapi watu hawamiliki nyumba [emoji23][emoji23][emoji23] ona huyu mdangayikaNyumba wanamiliki wao wenyewe they are bankable sasa mtu wa rented bedsitter akiingia bank anakuwa kama chokoraa tuu hana base yoyote
State house ya Kenya iliyojengwa na Queen Victoria of UK inafanana na MotelInafanana na high school.
Tuoneshe Nyumba yako tucheke kidogo.Kwani ni wapi watu hawamiliki nyumba [emoji23][emoji23][emoji23] ona huyu mdangayika
Motel gani? Ikulu yenu inafanana shule hapa Kenya, si hata we umejionea.State house ya Kenya iliyojengwa na Queen Victoria of UK inafanana na Motel
View attachment 1994607
Ikulu ya Kenya kama Guest house.Motel gani? Ikulu yenu inafanana shule hapa Kenya, si hata we umejionea.
Mention, which brand to be specific
Mzee unasumbuka sana kutafuta articles kwenye mitandao. Tunataka utuambie company gani sasa inauza hayo maziwa!? Na yanasafirshwaje kwenda Angola!?KENYA / Study sites - Africa Milk
Kenya is the leading milk producer in East Africa. Dairy is the largest agricultural sub-sector in Kenya in terms of income and employment creation contributing to 4% to overall GDPwww.africa-milk.org