President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,620
- 94,218
Oya mtoto wa mama Ngina unajua hata kirefu cha ATM!?Mulielimika na hata hamuwezi tengeneza a simple Milk ATM. Mumejazana Kenya kununua, we like to benefit from your laziness by the way.
Kijana, ingekuwa vyema kama ungetuletea hiyo ofisi nyingine ya makamu wenu wa Rais inayotumika kando na hii yenye hutaki. Unasema VP wenu hawezitumia ofisi kama hiyo wakati pameandikwa vizuri sana ''ofisi ya makamu wa Rais''. Mbona mnapenda kukana mapungufu yenu?kama unashadadia tuu poa
ila we kwa akili yako vice president(raisi mtarajiwa anytym)anaeza akakaa apo?
kuna institution zipo chini ya ofisi yake utambulisho wake lazma uanzie hivyo
mf: ofisi ya raisi (tamisemi) shule ya msingi kiembesamaki asa kwa akili yako sabab pameandikwa ofisi ya raisi unashupaza shingo!!
#we na brazaK wote sawa tuu (wakukurupuka 😂😂😂
Haya mambo tulishaachana nayo since 2013Mulielimika na hata hamuwezi tengeneza a simple Milk ATM. Mumejazana Kenya kununua, we like to benefit from your laziness by the way.
Mzee hebu usilete mambo ya kitoto hapa. How old you are!?Kijana, ingekuwa vyema kama ungetuletea hiyo ofisi nyingine ya makamu wenu wa Rais inayotumika kando na hii yenye hutaki. Unasema VP wenu hawezitumia ofisi kama hiyo wakati pameandikwa vizuri sana ''ofisi ya makamu wa Rais''. Mbona mnapenda kukana mapungufu yenu?
Maisha tz ni mepesi kwa mtu wa nchi yoyote akija awezi tesekaNdio tunawapowambia mkenya wa kawaida akija tz hawezi teseka km vile mtz wa kawaida aje hku..
Mkenya wa kawaida anayamudu maisha popote pale hapa EA
Mambo ya maziwa umeacha. Mzee wa Milk ATM.🤣🤣🤣Huwezi pata chuo kama hii imefunguliwa TZ.
Toyota walisetup shule huku and then they began assembling the Toyota Hilux. Kenya tuko chap chap hatulali kama nyinyi. Wavivu sana nyie kazi ni kucomplain.
View attachment 1994319
Hahaha peleka ujinga wako mbali, hapo bongo ndio munaanza hata sahii.Oya mtoto wa mama Ngina unajua hata kirefu cha ATM!?
Hayo mambo ya ATM dunia imeshaondokana nayo Mzee. Kuna magonjwa mengi mwanangu.
You still primitive, nenda shule kasome japo kidogo IT.
Poor people like you discuss about food.Hahaha peleka ujinga wako mbali, hapo bongo ndio munaanza hata sahii.
Made in Kenya😁😂
Kwa kukusaidia tu. Moshi is a small town in Tanzania. Na hiyo habari ni ya 2019.Hahaha peleka ujinga wako mbali, hapo bongo ndio munaanza hata sahii.
You can't manufacture a milk ATM na unataka kuongea about space.😂😂😂 Huna hata aibu. Mambo ya space wacha zile nchi zikona space center waongee. Nyinyi ambieni China iwasaidie kujenga ofisi ya makamu wa rais.Poor people like you discuss about food.
Modern people like Tanzania and Elon Must think about travel to other planets.
Wewe bado ni primitive you don't have exposure. Maziwa ni kitu cha kawaida sana. 🤣🤣🤣
That shelf is full of imports, kwanza Nestle products ni mingi na zimekua manufactured by Nestle Kenya which distributes them to East Africa and some parts of Central Africa.
Ni vizuri umeona ju hapo juu ulikua umeropokwa sijui 2013. 😂😂 Kenya zimemaliza more than a decade that's why we make them for your poor country bila ujuzi.Kwa kukusaidia tu. Moshi is a small town in Tanzania. Na hiyo habari ni ya 2019.
Mwaka mingi iliyopita.
View attachment 1994352
That shelf is full of imports, kwanza Nestle products ni mingi na zimekua manufactured by Nestle Kenya which distributes them to East Africa and some parts of Central Africa.
I don't argue with a stressed person.Made in Kenya😁😂
Do you manufacture milk?[emoji23][emoji23][emoji23]