Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona umeficha neno wikipedia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona unasumbuka kijana wa Tandale? You can shout at the top of your voice from your uswazi hovel but you can't change this fact
 
Kuna mtanzania anasema hii picha sio ya Kenya. What advise can we give him my fellow Kenyans?

Nani aliyesema hiyo picha co ya Kenya, unataka kufosi ili awe kama wewe uliyewahi kuita picha ya Tz ni ya Sweden [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndio hizo zingine. Usicheze na the biggest milk producer in Africa.

 
Mwenye anaongea juzi juzi amekuwa akisifia ikulu inayojenga design ya msikiti was kiarabu.
Kumbe hujui historia, pwani ya Africa mashariki ilikuwa na ya majengo yake hata kabla ya wageni kuja. Ukiangalia kwa makini majengo ya zamani ya Dar, Tanga na Bagamoyo utaona yana utofauti na yale ya Zanzibar. Yale ya Zanzibar yanafanana na yale ya Omani wakati yale ya bara yanafanana na majengo ya zamani ya himaya za Kilwa na Mwenemutapa.

Wajerumani walipovamia pwani yetu walishangazwa na ujenzi huo wa pwani (kwa jinzi unavyo maintain humidity and temperature, ndani) na kuamua kuiga usanifu huo wa kiafrika. Ndiyo hayo maboma ya wajerumani, yako kila mahali Tanzania nzima.

Majengo waliyojenga wajerumani kwenye makoloni yao mengine kama kule Namibia ni tofauti na yale ya Tanganyika, kule walijenga kutumia usanifu wa kijerumani (Gothic), Dar bado ina majengo machache ya kigothic mfano ni kanisa la Azania front. Kama hujui, usanifu huo wa kiswahili unatokana na kuiga usanifu wa siafu (ants) wanapojenga kichuguu (anthill). Jotoridi ndani ya kichuguu huwa halibadiliki sana kulinganisha na joto la nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…