Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huwezi kuelewa kwasababu wewe umekariri neno democracy, baadhi ya makabila hapo Kenya mfano jaluo wanalalamika kukosa kutoa president mpk leo na kwamba rais anatoka makabila mawili tu, sitaki nikueleze zaidi ila kama hujaelewa kunya boga.
 
Wakunya wa kesho [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa hapo hizo picha ulizoweka zina tofauti gani na zile za mwezi uliopita? Unabisha kwamba hamna mafundi mbn hujaweka picha wakiwepo, hao mafundi wawili ndio wajenge daraja, alafu be care mm co mpumbavu kama wengi wenu mlivyo, huwa sisifii kizembe na sipondi kizembe so be careful wkt unataka kunipinga.
 
Watoe wapi Kabul ya EAC.., pengine beach ambazo tunazo pia., inferiority complex na wivu ndio inasumbuaga wa Tz..,
Tuwaelewe tu. Uliona yule jamaa mwingine alileta picha za hotel compounds to console himself with! Hawapendi kushindwa hawa midanganyika
 
Hili jiji lenu ndiyo huwa halina majengo kabisa, kwamba mnatunza green spaces [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Haya mafala aisee mpk yanatia kinyaa, yn majengo yao yote yameiga ya US na bado kitu hakijatoka kama cha US [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Haya ni mafala mnooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hili jiji lenu ndiyo huwa halina majengo kabisa, kwamba mnatunza green spaces [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbaazi ikikosa matunda husingizia jua. Mtakuja na kila aina ya kisingizio. Eti jiji letu halina majengo? 😂 😂.
Angalia Eastlands below then shut the hell up until that day you bring down those dream houses that dot your cityscape
 
Utajua mwenyewe kwanini hao wazungu wapo hapo na siyo kwenye Park zenu na hapo ni nje
So mzungu kuingia nightclub Dar ni big deal sana kwako ana point yako ni nini haswa? Hii inferiority complex itawaisha lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…