NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,317
- 19,685
Swali la ajabu sababu jibu unalijua na hulipendi? 🤣 🤣We jamaa Una maswali ya ajabu Sana!
Ungekua umebaatika kufika hata Tanzania tunge debate you don't have any idea of what you are talking about 🙂
Hakuna mTz anayeipenda Kenya humu.Hio video ni ya watu ambao hawana roho mbaya na Kenya.
Umefika Tz sehemu gn?Swali la ajabu sababu jibu unalijua na hulipendi? [emoji1787] [emoji1787]
Nani kakwambia sijafika Tanzania? Tanzania nimefika, biashara kubwa hazimo mikononi mwa Mwafrika mweusi.
Umefika Tanzania wapi? Tuelezee wapi hapo ulikaa ukaona ubaguzi wa rangi labda sisi hatuna habari🙂Swali la ajabu sababu jibu unalijua na hulipendi? 🤣 🤣
Nani kakwambia sijafika Tanzania? Tanzania nimefika, biashara kubwa hazimo mikononi mwa Mwafrika mweusi.
Hapo sasa🙂Umefika Tz sehemu gn?
Sisi ni primitive ilhali tuna nchi iliyoendelea kiuchumi kushinda yenu?Endeleeni na ukabila wenu muone Kama uchaguzi unaokuja hakutofanyika "Genocide" Kama ya Rwanda, ninyi ni watu "primitive", you see everything though lenses of tribalism, stupid.
Naelewa ni kwa sababu tumewashinda kwenye suala zima la uchumi. Nchi yetu imeendelea zaidi kiuchumi kushinda yenu. Itabidi mchukie Kenya hata zaidi.Hakuna mTz anayeipenda Kenya humu.
Hehehe, mbona sasa Mwafrika mweusi hana chake Tanzania kama society yenu iko equal? [emoji1787] [emoji1787]
I repeat, we are not primitive like you, stop your tribalism, otherwise will request moderator to ban you.Genocide ilifanyika kisa kabila moja lililo na watu wachache lina mali kuliko kabila lingine lililo na wengi. The same thing happening in Tanzania now. In fact it is worse - Wahindi na waarabu hawafiki hata elfu mia moja yet wameshikilia Uchumu wa jiinchi lenye watu milioni sitini.
Kuchoma watu ndani ya Nyumba za ibada, kupiga watu risasi kwasababu ni Jaluo vs Kikuyu, zaidi ya watu 2000 waliuliwa kinyama during PEV 2007/8, that is pure primitivity. How can you kill each because of tribalism?Sisi ni primitive ilhali tuna nchi iliyoendelea kiuchumi kushinda yenu?
Naelewa ni kwa sababu tumewashinda kwenye suala zima la uchumi. Nchi yetu imeendelea zaidi kiuchumi kushinda yenu. Itabidi mchukie Kenya hata zaidi.
Kuendelea = kuomba msaada wa chakula [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naelewa ni kwa sababu tumewashinda kwenye suala zima la uchumi. Nchi yetu imeendelea zaidi kiuchumi kushinda yenu. Itabidi mchukie Kenya hata zaidi.
I have been to Arusha and Dar es Salaam and Serengeti National Park. Msidhani mnapotoa ignorant comments on Kenya pia zetu ni ignorant hivo. Nimekuuliza swali, mbona kundi la watu 80k limedominate list ya richest people in Tanzania nchi yenye watu milioni 60? Najua hampendi ukweli but hapo lazima kuwe na tatizo. Shida yenu wabongo mnapenda kutia vichwa mchangani - hata media yenu mmeibana ila mkiambua kuwa wawazi mtagundua kuna shida mahali.Umefika Tanzania wapi? Tuelezee wapi hapo ulikaa ukaona ubaguzi wa rangi labda sisi hatuna habari🙂
Biashara kubwa zote - Wahindi na WaarabiKivipi?
Yani mrequest nibaniwe kisa nimwaambia ukweli? 🤣 🤣 🤣I repeat, we are not primitive like you, stop your tribalism, otherwise will request moderator to ban you.
Kwani wewe uchumi unautafsiri vipi.Naelewa ni kwa sababu tumewashinda kwenye suala zima la uchumi. Nchi yetu imeendelea zaidi kiuchumi kushinda yenu. Itabidi mchukie Kenya hata zaidi.
Kusema umekua Arusha,DSM ndo nini? Swali simple DSM au Arusha ulikua wapi ukaona kuna ubaguzi? Serengeti kuna wanyama Pori wanabaguana kwa misingi ya rangi na kikabila kama nyie?I have been to Arusha and Dar es Salaam and Serengeti National Park. Msidhani mnapotoa ignorant comments on Kenya pia zetu ni ignorant hivo. Nimekuuliza swali, mbona kundi la watu 80k limedominate list ya richest people in Tanzania nchi yenye watu milioni 60? Najua hampendi ukweli but hapo lazima kuwe na tatizo. Shida yenu wabongo mnapenda kutia vichwa mchangani - hata media yenu mmeibana ila mkiambua kuwa wawazi mtagundua kuna shida mahali.