babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,460
- 36,112
Hiyo Geita hapo kwa wasio jua ni ule uwanja mpya uliopo Chato ambao baadhi ya watu humu huwa wanakamatika na zile cheap politics za jukwaa la siasa.
zipi hizo kwamba Magufuli alijipendelea kikabila/kiukoo badala ya kuujenga Geita Town? Yaani huo ndo ukweli! come rain come sun! Au evidence nilizotoa humu ndani hazitoshi?Hiyo Geita hapo kwa wasio jua ni ule uwanja mpya uliopo Chato ambao baadhi ya watu humu huwa wanakamatika na zile cheap politics za jukwaa la siasa.
ATCL wanaenda Geita (Chato) mara tatu kwa wiki.
Nenda kwenye website yao. Nauli kati ya Nbi na Dar ni kati ya ksh 26,000 na ksh 28,000. (one way). Ila Friday naona inafika hadi ksh 32,000.
View attachment 1981749
Nadhani ticket ya bei ya chini kabisa ni $240Weka kwenye $ ili tulinganishe vizuri
Nadhani ticket ya bei ya chini kabisa ni $240
Kenya tulikuwa tumefunga kwa sababu ya corona. Nyinyi mlikataa kufunga mipaka yenu. Sasa ni lipi la kushangaza hapa?@Tony254
Hakuna beach iliyoshinda hii award mara nyingi kushinda Diani beach in Kwale county KenyaπΉπΏπΉπΏπΉπΏ
Hakuna siku mtakuja kutupita kwenye hili la passport ranking. Mna bahati wakati huu ni wakati wa corona watu wanafungiana mipaka.safari hii tumegongana na kenya kwenye ranking
Mbwa mpumbav pekee ndio atapoteza muda wake kuwabwekea ndege.zipi hizo kwamba Magufuli alijipendelea kikabila/kiukoo badala ya kuujenga Geita Town? Yaani huo ndo ukweli! come rain come sun! Au evidence nilizotoa humu ndani hazitoshi?
kama vile mama yake Mzazi sio!?Mbwa mpumbav pekee ndio atapoteza muda wake kuwabwekea ndege.
Siko tayari kuwa huyo Mbwa mpumbav.
!Yes.kama vile mama yake Mzazi sio!?
ndio haijashinda tena πππ na haitashinda tena sahau hioHakuna beach iliyoshinda hii award mara nyingi kushinda Diani beach in Kwale county Kenya
uhehhee tumeshika nafasi moja sisi na nyinyi sasa tusubiri tuone nani atakweda juu ya mwenzie ππππHakuna siku mtakuja kutupita kwenye hili la passport ranking. Mna bahati wakati huu ni wakati wa corona watu wanafungiana mipaka.
hivi kwann hakuna ustaarabu wa kukubali different opinion? why matusi? kwa vile wengine hawajui kutukana au? May be hii ndo sababu wakina Gwamba na Saanane hatunao kisa tu walikuwa na maoni tofauti! Aisee siwezi kumsamehe mwendazake kwa hili!!Yes.
Beach yenyewe imefungw kwa sababu ya Covid-19. Nyinyi kwa ulafi mkali mliamua kutofunga hoteli zenu ili mpate mapato kutoka watalii kutoka Urusi na Ukraine. Sisi tukifungua hoteli na beaches zetu basi mtatoka kwenye hizo rankings na sisi tutarudi kwenye hizo rankings.ndio haijashinda tena πππ na haitashinda tena sahau hio
Sisi ndio tumekuwa juu yenu miaka zote sema wakati huu watu wanafungiana mipaka so ranking yetu imeshuka. Akina UK na US wakianza kufungua mipaka yao basi ranking yetu itapanda. Kumbuka sisi tuna marafiki wengi ulaya kuwashinda nyie.uhehhee tumeshika nafasi moja sisi na nyinyi sasa tusubiri tuone nani atakweda juu ya mwenzie ππππ
yani muipiku zanzibar hio musahau mpaka dunia itasmama na hili nakuhakikishia kwa asilimia 100 ππππBeach yenyewe imefungw kwa sababu ya Covid-19. Nyinyi kwa ulafi mkali mliamua kutofunga hoteli zenu ili mpate mapato kutoka watalii kutoka Urusi na Ukraine. Sisi tukifungua hoteli na beaches zetu basi mtatoka kwenye hizo rankings na sisi tutarudi kwenye hizo rankings.
sasa kama mulikua juu yetu mutambue hii sio ile tz ya 90s mark my wordsSisi ndio tumekuwa juu yenu miaka zote sema wakati huu watu wanafungiana mipaka so ranking yetu imeshuka. Akina UK na US wakianza kufungua mipaka yao basi ranking yetu itapanda. Kumbuka sisi tuna marafiki wengi ulaya kuwashinda nyie.