basi tulia uone game linavoendelea hutoamini wazungu maisha yako yoteHaha.
Mnajaribu kuwakamua Acacia venye Nigeria ilifanya MTN.
Difference ni kwamba MTN is a giant company, na fine ya Nigeria ilikuwa 'only' $5 billion.
Hii yenu inaharibu tu reputation yenu in the business community.
Ile ni kamati ya raisi.bado inatakiwa kamati huru ambayo inaongozwa kwa uhuru na pia iwe na wajumbe pande zote.iyo ikipitisha kuwa kamati ya raisi ni wakweli ndio ucheke[emoji2] [emoji2] .Tumeshklia makontena ya dhahabu zaidi ya 277 yako bandarini wakatae kulipa tuyapige mnada alaf uone kama 190 billion usd haifiki......
Usifkiri tumekaa kimya wajingaπππ
Makontena mengine ya mchanga wa dhahabu yanaswa | East Africa Television
Unajua nawapa pole sana hawa ndugu zetuHuku ajira kwa sasa ni balaa. Majirani wanapangusa viti vya city park kukaa ili wapunguze stressView attachment 550943 View attachment 550943 View attachment 550944 View attachment 550945
remember Ugandans have chains of experience with dictatorship,so they know it when they see itHahaha. Ata Wauganda washagundua kumbe Magufuli ni dikteta kama mzee wao Museveni.
View attachment 550929
View attachment 550930 View attachment 550933 View attachment 550935 View attachment 550936 View attachment 550937 View attachment 550938
I see you think $200 bn ni kama Tzsh...let me convert them for you ndio angalau ufungue macho. that is 447,880,000,000,000.00 Tanzanian Shillings.Hivi unadhani watalii wanakuja tu Tanzania bila sababu. Tuliza mshono wako. Kwenye Balancesheet ya Account yetu kwenye central Bank, Sehemu ya Debtors inasoma $190Billion Creditors is less than $2Billion.
Hebu piga Ratio za Balance sheet uone utamu wake sasa.
there is a project going on started recently called the last mile project...in 1 year they connected more than 1.5 Million new kenyans...are you aware?endelea kutuletea hapa stqtistics za Google, uliza watu on the ground..na Kenya powerIs only three years my friend. You have independence since 1963. 2014 is 51yrs with 34%.
Nipatie muujiza uliofanyika hiyo miaka miwili (2015 and 2016) nakusubiri.
My friend acha ujinga. Hivi unajua thamani ya dhahabu wewe?I see you think $200 bn ni kama Tzsh...let me convert them for you ndio angalau ufungue macho. that is 447,880,000,000,000.00 Tanzanian Shillings.
Leta reference hapa. I don't need to google. You give me the reference yanini kuanza kuhangaika?there is a project going on started recently called the last mile project...in 1 year they connected more than 1.5 Million new kenyans...are you aware?endelea kutuletea hapa stqtistics za Google, uliza watu on the ground..na Kenya power
Twende taratibu tu ndugu tutaelewana. This is latest news. Ya moto moto haijapoa
ajulie wapi huyo masuala ya ratio balance sheetHivi unadhani watalii wanakuja tu Tanzania bila sababu. Tuliza mshono wako. Kwenye Balancesheet ya Account yetu kwenye central Bank, Sehemu ya Debtors inasoma $190Billion Creditors is less than $2Billion.
Hebu piga Ratio za Balance sheet uone utamu wake sasa.
jibu basi nyie wakenya ni DC au ni LDC?Hakuna makosa. Cha muhimu ni kwamba Tanzania ni LDC na mnatarajia kujitoa hapo 2025.
ha haa ndiyo zao hafu hawakosi bahasha .......zakuzugia...yani wote pale city park asilimia 85 ni wazururaji hawana ajira machokoraa ...hebu mcheki aliyelala huyoHuku ajira kwa sasa ni balaa. Majirani wanapangusa viti vya city park kukaa ili wapunguze stressView attachment 550943 View attachment 550943 View attachment 550944 View attachment 550945
I asked you a simple question acha kuniambia vitu najua, how much in profits have Acacia made since entry into Tz or for those 17 years.My friend acha ujinga. Hivi unajua thamani ya dhahabu wewe?
Tembelea hii website ujue pure gold cost 1gram ya gold = $40
$40.26/gram
View attachment 550958
kilogram moja ni sawa na gram 1000.
Calculate 1000 x $40.26= ?
Tani moja ni sawa na 1000 kilogram
Sasa piga 1000 x 1000 x 40.26 how much?
Usidhani sisi hapa tunacheza we are serious.
Scrap Gold Calculator (Live Gold Price) - GoldCalc.com
Utaweza kupata calculation per gram
look bro i work at Stima Plaza for Kenya power,I am not in the last mile project department,i am in another department.so i know what I am saying. we work together, I'll see if i can get you dataLeta reference hapa. I don't need to google. You give me the reference yanini kuanza kuhangaika?
yani mwizi akuletee kamati yake uisome alafu useme iko sawa yako wewe ulioiunda useme haifai basi mwaka huu kuna vilaza wengi sana....unatuonesha vile ulivo kiaziπππππππππIle ni kamati ya raisi.bado inatakiwa kamati huru ambayo inaongozwa kwa uhuru na pia iwe na wajumbe pande zote.iyo ikipitisha kuwa kamati ya raisi ni wakweli ndio ucheke[emoji2] [emoji2] .
Lakin embu changamsha akili yako kwanini serikali haijawapa ripoti ya kamati acacia?wanakimbilia kuwapa bill huku wanasema wanaweza kukaa nao kwene mazungumzo?yaani ukae kwene mazungumzo na mwizi? Hapana hapa nahisi wanataka kuongwa maisha yaendelee
Sent using Jamii Forums mobile app
nani dictator???? is magufuli dictator????remember Ugandans have chains of experience with dictatorship,so they know it when they see it
jibu basi nyie wakenya ni DC au ni LDC?
unafkiri kwa akili yako hizo container zingekua hazina thamani wangetaka mazungumzo na tanzaniaI asked you a simple question acha kuniambia vitu najua, how much in profits have Acacia made since entry into Tz or for those 17 years.
ama una support ichoboy anasema kuna containers at the port worth 4 times your economy