The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Nikweli hatupaswi kuwapa attention wajinga ila yakizidi inabidi utoke ukanushe au uwakumbushe walipotoka, mana ujinga ukiachwa hugeuka kuwa ukweli.Tatizo linaanzia mmekutana wote ni aina ile ya watu ambao hamuwezi kumpuuza mtu kwa sababu mtaonekana dhaifu au mtakuwa mmeonesha udhaifu au labda mtaonekana mmeshindwa kumbe walaa hata. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli bro ujinga ukiachwa utawale mwishowe unaonekana kuwa ndio ukweliSio hivyo mkuu, ni kwamba kuna mda lazima tuweke mambo hadharani, ujinga ukiachwa mwishowe hugeuka kuwa ukweli.
Mcheki inbox atakwambia...alitobolewa miguu yote miwili 2008.max wa JF alitobolewa drill lini?
Iko hivyo.Ni kweli bro ujinga ukiachwa utawale mwishowe unaonekana kuwa ndio ukweli
Waswahili husema kizuri chajiuza kibaya chajitembeza (sijajua kama numepatia)Sio hivyo mkuu, ni kwamba kuna mda lazima tuweke mambo hadharani, ujinga ukiachwa mwishowe hugeuka kuwa ukweli.
Mm nakupenda sana mkuu, kuna mda unanikwaza ila nakausha cz wazalendo wote wa humu huwa nawakaushia wakiteleza lkn huyu mtu anayeitwa Gezaulole ananikwaza kuliko unavyoweza kudhani na ndiyo maana leo nimemuamulia, ila nadhani msg sent and delivered so kazi iendelee.Waswahili husema kizuri chajiuza kibaya chajitembeza (sijajua kama numepatia)
Hivi kuna mtu atabisha kuwa SGR, mradi mkubwa wa umeme (JNHP) ujenzi wa stendi za kisasa, ujenzi wa flyover na interchange nk vimeanza kujengwa enzi za JPM?
Achaneni na hizo mishe maana hazibadilishi chochote zaidi ya kupoteza tu muda wako bure.
Nakwambia wacha ujinga.
Nimesema Nakupenda cjasema nakukubali, mark these words.Waswahili husema kizuri chajiuza kibaya chajitembeza (sijajua kama numepatia)
Hivi kuna mtu atabisha kuwa SGR, mradi mkubwa wa umeme (JNHP) ujenzi wa stendi za kisasa, ujenzi wa flyover na interchange nk vimeanza kujengwa enzi za JPM?
Achaneni na hizo mishe maana hazibadilishi chochote zaidi ya kupoteza tu muda wako bure.
SawaMkuu wewe ndio unawapa kiki hao jamaa, what if tukijadili mambo mengine?
Sawa
Unaleta picha za Zamani Sana mkuu hizo dalada nyingi zilishakufa baada ya kubadili route,kwanza majoriy hizo Dala Dala zilishatoweka Mjini five years backBRT na vi bus vichache visifanye ujifanye hauijui Tanzania wewe 😂 😂 😂 😂 😂 wacha propaganda nani.., kuna matako pia licha ya wewe kuweka uso wa dar unajaribu kulinganisha na matako ya Kenya, weka uso vs uso ama matako vs matako..,
Sio kila sehemu ya Tz iko na buses and organized transport., na umeweka picha za zamani za Nairobi machakos country bus, it doesn't look like that today na mabasi mengine hapo left the game kitambo, hazipo tena 😂 😂
Tanzania kwa uhalisia..,
View attachment 1978191
tungi la nguvu hiloMm huwa sikatishiw maneno kwa mbele kaka...kwaiyo ulikuwa unamanisha kibera ndio jini linalo kumiza sanaaa mind you iyo sio slum peke mkonayo apo kunya land...so chill broo...subiri gither ikamilike[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1979011
daah aisee habari njema hii
Upinzani (opposition) serious upo Kenya na Uganda hapa east africa na kwa hili lazima niwapongeze. Tanzania hakuna wapinzani ila wamejaa wachumia tumbo tu. Nadhani unaelewa namaanisha nini. Napenda sana Opposition iwe na nguvu ili CCM isibweteke kuleta maendeleo kwa watanzania ila sioni serious wapinzani zaidi ya wachumia Tumbo wasio na dira yoyote ya maana ya kuitoa Tanzania hapa ilipo kwenda mbele. Wacha CCM iendelee tu japo siyo chama changu ninachokisupport.kwahiyo alivyokuwa anakandamiza Wapinzani kisa ya mtazamo tofauti niseme sawa tuu? duh.