Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

40% ni ajira hakuna kabisa kwa wakenya ndio maana mtu ku afford chakula na malazi ngumu kwann unakua mbishi na mambo yako wazi 🀣

Fikra zako hizo mr, tweets., retweet kwa account yako πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., wewe hauna uwezo wa kudadisi mambo, ni kulazimisha unachodhania ili kionekane ndio vile., lakini wapi..,
 
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani ni bonge la gape aedhi na mbingu,
ila tunaweza kuwalaumu lakini makosa siyo yao kiuhalisia inabidi tu watumie hayo mabati sababu wakitoka kidogo tu nnje ya nairobi barabara ni mbovu,
 

Hahaha, kindly share the recent upcountry bus terminal hapo Nairobi [emoji3][emoji3]
See this video buses dispatching at Magufuli Bus Terminal
 
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani ni bonge la gape aedhi na mbingu,
ila tunaweza kuwalaumu lakini makosa siyo yao kiuhalisia inabidi tu watumie hayo mabati sababu wakitoka kidogo tu nnje ya nairobi barabara ni mbovu,

[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Timu kubwa africa zinapangwa kwa seed hivyo hucheza na timu dhaifu kdg sasa Simba akikaza akawa anaanzia first round atakuwa anapewa timu dhaifu kwenye round ya kwanza na hivyo kuwa na uhakika wa kucheza makundi kila mwaka.

hilo nalifaham
 
OUTDATED

vipanya loooong time ,tulishapiga burn mjini,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zimesaidia wapi so far???🀣🀣🀣🀣 unanipa news ya septmber 10 mm nakupa ya leo ????
Sasa hiyo pesa ndio watasambaziwa., ama hauoni it was allocated to cater for what was coming all the way to November as it was projected?.., ama tafuta taifa leo usome vizuri.., ingekua hiyo nchi yenu fukara sijui mngejisaidia vipi? yaani mko hovyo, ni nature inawalinda hamujiwezi πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
OUTDATED

vipanya loooong time ,tulishapiga burn mjini,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi zinafika hadi Mombasa in 2021 nimeziona pale mwembe tayari stage ya dala dala za Tz, wamejaza mizigo hadi juu na watu ndani wanatoa jasho! wacha wewe..,



Kisha fahamuπŸ‘‡ πŸ‘‡

Dar es Salaam’s new rapid bus system won international acclaim – but it excludes the poor​


Daladalas stuck in traffic. CokeeOrg/Flickr., CC BY-NC-ND
Despite investments of US$150m for the first phase of BRT, the poor are still stuck in traffic on cheaper buses every day. By contrast, those who are wealthy enough to afford the higher fare have the option of cutting travelling time by two hours a day. Roughly 70% of Tanzanians live on less than 4,400 Tanzanian shillings a day, (that’s less than US$2). Yet a two-way commute along the main branch of the BRT would cost 1,300 shillings – that’s a staggering 30% of poor people’s daily income being spent on transport. By comparison, the same commute by daladala would have cost 800 shillings.

What’s more, the lack of jobs is a major problem in Dar es Salaam, as in many other metropolises in developing countries. Since BRT buses can carry more passengers than minibuses, about ten daladalas will be displaced by each BRT bus. This will have devastating consequences for the 20,000 to 30,000 people employed in public transport. There are currently no plans to address the fate of these workers.

BRT advocates commonly praise it as a financially self-sufficient bus transport system. But BRT in Dar es Salaam, as elsewhere in the world, is not sustainable without public subsidies – even with its current high fares. Whether or not the Tanzanian government is willing to subsidise the system remains to be seen. But in a country with very limited public resources, doing so would divert funding from other vital development needs.
 
Watasema ni Propaganda [emoji3][emoji3][emoji3]
Ki ukweli kwenye sector ya usafiri hakuna nchi ina enjoy ukanda huu kama Tanzania yaani mpaka vijijini wanapata first class services 😁😁😁😁
 
Duuuuh,wapi DSM hapo? naona logo ya voda 2009🀣🀣🀣🀣🀣🀣 naomba utupie na za 2020 kuendelea😁😁😁
 
yaani kenya ipo local sana ,
 
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani ni bonge la gape aedhi na mbingu,
ila tunaweza kuwalaumu lakini makosa siyo yao kiuhalisia inabidi tu watumie hayo mabati sababu wakitoka kidogo tu nnje ya nairobi barabara ni mbovu,
nje ya nairobi kidogo tu ni wapi hapo mabarabara ni mabovu? kujiliwaza tu kaka., Tanzania ni Dar., nje ya Dar ni vijiji na ushamba..,
 
Hii ni kama Westlands District pekee. Dar commercial center ni ndogo sana. That's why almost all regional office for East and Central Africa zipo Nairobi.
ndoto za mlevi anaota akiwa anatoa pesa mfukoni na haziishi huku akipiga tungi la kutosha,kuja kushtuka kashajikojolea
 
yaani kenya ipo local sana ,
Yani Tanzania ni taifa ya mifukara kwa wingi.., on average what u use on road transport ni vipanya vya zamani sana.., hizi ndio mingi zaidi ya mabasi in Tanzania ama unapinga?.., model za zamani, uso wa ufukara

 
ndoto za mlevi anaota akiwa anatoa pesa mfukoni huku akipiga tungi la kutosha,kuja kushtuka kashajikojolea
Kiswahili tupu, maneno empty.., Dar hii hapa developed area yake yote.., outside here nothing to measure up.., ama bado utapinga? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ kila jengo la maana Dar ndani.., eti density kumbe wamesanya mijengo yao yoote sehemu moja.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ nje ni uswazi kote kote
 
nje ya nairobi kidogo tu ni wapi hapo mabarabara ni mabovu? kujiliwaza tu kaka., Tanzania ni Dar., nje ya Dar ni vijiji na ushamba..,
hata hujielewi endeleeni kutumia hivyo vipanya mpaka mtokwe na vibiongo,,

kwenye sekta ya usafiri Tz tumewaacha wenzenu huwa tuna update public transiportation kulingana na mahitaji pia na mda,
unapanda public transiport hiace NAI-NAI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kenya ni vipanya Country
 
Yani Tanzania ni taifa ya mifukara kwa wingi.., on average what u use on road transport ni vipanya vya zamani sana.., hizi ndio mingi zaidi ya mabasi in Tanzania ama unapinga?.., model za zamani, uso wa ufukara

huku tulishatoka 1999-2008 tulishafunga biashara ya vipanya now 2021
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…