Ona akili fupi?ππππCan u kindly explain to me why fuel prices shot up in Kenya na sio tu pwani? Na kwanini tena bei zilishukishwa wiki ilio pita?.., explain the politics behind it.., nione fikra zako, wewe kazi ni ku quote tweets selectively that align with your skewed reasoning tu using them to propagate your subjective views and wishes.., ili Tz ionekane nafuu kwa muonekano wakoπππ., Mko hovyo, mapungufu ya Kenya yasikutekenye kisha unacheka, jiangalieππππ.,Na mm niliwah kukwambia hapa mombasa ilishakufa muda tu ππ ukawa mkali sana ona leo hii sio tu transportation imekufa mpaka real estate imekufa pia ww hushangai fuel inauzwa ghali mombasa kuliko uganda kampala alaf bado unapiga kelele humu π
Drought effectsπππππ.., kwani wewe unaona tu matako ya pwani na uso hautazamiππ, kwa kauli yako ina maana hakuna maendeleo yeyote pwani, naona ukilaza unakurudia., ulikua umepunguzaππππWatu wako lamu pua na mdomo na bahari lakini hawana maji alaf unazungumza habari ya maendeleo ππππ
Sio mm ππππ munasingizia covid wakat mombasa imegeuka ghost town even before covid au umesahau balala waziri wenu alisema hamuwezi compete na tanzania kwenye tourism moja ya sababu ilikua hoteli za kisasa au pia ilikua reason ya covid...na pia nimekua pwani sana hivi majuzi, hii yako ni porojo, ni Yale fikra zenu za wivu tu, issue imekua effects za Covid more than SGR, pili ushoga kwa wa pwani wote iwe Dar ama Zanzibar sio jambo geni., miji ilia jaa dini ila mambo ya giza ndio inatawala, religion is a scam!.,so hapa sio mambo ya uchumi, ni tabia tu.., jiangalie pale Dar mlivyo, ama unadhani siwajui?..
Kwanini drought kila mwaka?? Hio serekali ya maendeleo iko wapi na inafanya jambo gani ikiwa imeshindwa kuleta maendeleo ya maji nairobi itaweza lamu kweli???π€£π€£π€£π€£Drought effectsπππππ.., kwani wewe unaona tu matako ya pwani na uso hautazamiππ, kwa kauli yako ina maana hakuna maendeleo yeyote pwani, naona ukilaza unakurudia., ulikua umepunguzaππππ
Nilitegemea pwani fuel ndio iwe less lakini ajabu unaskia kampala fuel iko chini kuliko mombasa π hvi nyinyi mulirogwa na nani ?? Mapungufu kenya ni mengi sana kuliko zimbabwe na congoOna akili fupi?ππππCan u kindly explain to me why fuel prices shot up in Kenya na sio tu pwani? Na kwanini tena bei zilishukishwa wiki ilio pita?.., explain the politics behind it.., nione fikra zako, wewe kazi ni ku quote tweets selectively that align with your skewed reasoning tu using them to propagate your subjective views and wishes.., ili Tz ionekane nafuu kwa muonekano wakoπππ., Mko hovyo, mapungufu ya Kenya yasikutekenye kisha unacheka, jiangalieππππ.,
πππππYaani wewe bado kilaza, I thought u are a critical thinker? Just because a sensational media headline inasema "Ghost town" wewe ukachukia the meaning of it una apply kwa Mombasa, u cannot differentiate sensationalism vs reality, just because a few businesses have closed shop kisa tough economic times so u think Mombasa is dead?πππ, Unajua maana ya Ghost town kweli?ππππ., do u know in Dar story ni the same, ila tu media haija report the same way KTN News projected Mombasa.., ichoboy 01 you are my guy this morning πππππWajaluo wamesoma sana kenya lakini nenda kisumu ukaone vile unemployment ilivowachakaza huko πππ hebu niambie kenyatta kapeleka maendeleo gani pwani zaidi leo ya mombasa kugeuka kua ghost town
Food insecurity kila mwaka lazma iwatafune unaeza tuambie ile pesa mlevi alisema imekusanywa na KRA iko wapi??? Au tuamini siasa za uchaguzi zimeanzaDrought effectsπππππ.., kwani wewe unaona tu matako ya pwani na uso hautazamiππ, kwa kauli yako ina maana hakuna maendeleo yeyote pwani, naona ukilaza unakurudia., ulikua umepunguzaππππ
Taratibu tunaondoka, wachezaji wa kitanzania wanaanza kuaminika, SΓ matta na Msuva wameonesha njia, next stop Europe kwa wingi.
Unaamua kujichetua ππππ na habari ya ghost town mombasa nilikwambia kama 2yrs back ukaja juu sana nakumbuka vzr sanaπππππYaani wewe bado kilaza, I thought u are a critical thinker? Just because a sensational media headline inasema "Ghost town" wewe ukachukia the meaning of it una apply kwa Mombasa, u cannot differentiate sensationalism vs reality, just because a few businesses have closed shop kisa tough economic times so u think Mombasa is dead?πππ, Unajua maana ya Ghost town kweli?ππππ., do u know in Dar story ni the same, ila tu media haija report the same way KTN News projected Mombasa.., ichoboy 01 you are my guy this morning πππππ
Wajaluo wamesoma ni kweli, ndio maana ni madaktari, engineers, professors na lawyers kwa wingi sana, Kenya na nchi za nje ama unataka list? na ukumbuke walimtibu lisu hapa Nairobi akapona na pia Mukulu ila kwa bahati mbaya aliaga,., so unemployment issue has many underlying factors, thought utafafania ila umekurupuka your ignorance, na kama unajua ukweli hauwezi kiweka himu maana it is what ails Tz n Africa, Tz ni hovyo tu wacha kujitekenya.., ki fikra mko hovyo.,Wajaluo wamesoma sana kenya lakini nenda kisumu ukaone vile unemployment ilivowachakaza huko πππ hebu niambie kenyatta kapeleka maendeleo gani pwani zaidi leo ya mombasa kugeuka kua ghost town
Nilijua hautanijibu utakwepaππππ.,Nilitegemea pwani fuel ndio iwe less lakini ajabu unaskia kampala fuel iko chini kuliko mombasa π hvi nyinyi mulirogwa na nani ?? Mapungufu kenya ni mengi sana kuliko zimbabwe na congo
Alaf unaongea habari ya maendeleo pwani wakati ushuzi mtupu πππ
..leo am driving in the jam while chatting with u this morning,, ndio maana nachukua mda to respond, I like your energy, ., Jam imefunguka will chit chat niki stop.., nisisababishe ajali..,Unaamua kujichetua ππππ na habari ya ghost town mombasa nilikwambia kama 2yrs back ukaja juu sana nakumbuka vzr sana
Hehehehee au imeenda kinyume na principles za humu!?? Mana kweli haipo mzee [emoji3][emoji3]oi hio post mbona nilipost afu haipo.. wala hata sikuifuta.. nilivyopost sikuingia tena humu.. mauzauza gan haya tena
Umesifia kabila lake ona anavyojibamba [emoji1787][emoji1787]Wajaluo wamesoma ni kweli, ndio maana ni madaktari, engineers, professors na lawyers kwa wingi sana, Kenya na nchi za nje ama unataka list? na ukumbuke walimtibu lisu hapa Nairobi akapona na pia Mukulu ila kwa bahati mbaya aliaga,., so unemployment issue has many underlying factors, thought utafafania ila umekurupuka your ignorance, na kama unajua ukweli hauwezi kiweka himu maana it is what ails Tz n Africa, Tz ni hovyo tu wacha kujitekenya.., ki fikra mko hovyo.,
[emoji3516][emoji3516]kwenye maneno 10 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..leo am driving in the jam while chatting with u this morning,, ndio maana nachukua mda to respond, I like your energy, ., Jam imefunguka will chit chat niki stop.., nisisababishe ajali..,
[emoji1787][emoji1787]wakati wao wameshindwa hata kununua "panga girl"Walisema hatuwez nunua ndege...badae ilivyokuja bombadier wakasema panga boy sio ndege. ..zilivyoanza kuja dreamliner walisema hatuwez kwenda popote nje ya africa..tulivyoanza route ya Mumbai wakasema wao wanaenda hadi NYC wala hatukubisha...sahivi ndege zimefika 11 tukiwa humu jamvini sote, tizama wameanza tena kusema tumekurupuka kuja JKIAIlhali KQ kila siku inatua JNIA...
Hawa jamaa msiwahi ogopa maneno yao...ndege 11 tayari ziko Tz na kama kawaida tutawafurahisha nazo
Here is where Tanga port will come to fit in and play to those businesses around Mombasa and the whole of Kenyan ports! Don't worry Mr Mvita MP, ur cries r being listened and from next year u will be able to collect ur cargo from Tanga!Unaamua kujichetua ππππ na habari ya ghost town mombasa nilikwambia kama 2yrs back ukaja juu sana nakumbuka vzr sana