Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Picha zenyewe zimepigwa tarehe tisa mwezi wa sita mwaka 2019. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakunya wengi Wana lack ubunifu ukiingia kwenye apartments zao unakuta kiti cha L shape na picha ya wanyama on the wall basi,wachache Sana utakuta Wana interior unique 🙂
 
Hapa ulikuwa unakula bata aliyekufa tangu mwaka 2019, aloo Wakenya mna mambo, pombe ya 2019 inamuuwa leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sio lazima ni pige picha sasahivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…