The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Wamejawa chuki za kijinga, hawapendi kuona mji fulani wa Tz ukiendelea kisa tu kuna mtu wa huko hawampendi, so wanataka kuaminisha Watz kwamba Chato ilikuwa inajengwa kuliko Dodoma au Dar.Mabibi na mabwana, hawa ndio upinzani wenye ndoto ya kuitoa CCM madarakani. [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani wameshindwa hata kutumia akili ndogo tu kutambua kuwa haya majengo ni tofauti!
Project moja vipi hujaipost [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wajinga wa awamu ya tano ya mzoga wa cjato ndio hawa pamoja na akina sabaya View attachment 1976245
Badala waangaike kujenga chama chao huwa wanawekeza kwenye kueneza chuki pamoja na kupotosha.Wamejawa chuki za kijinga, hawapendi kuona mji fulani wa Tz ukiendelea kisa tu kuna mtu wa huko hawampendi, so wanataka kuaminisha Watz kwamba Chato ilikuwa inajengwa kuliko Dodoma au Dar.
Jamaa anaumizwa sn na maendeleo ya Tanzania [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Danganyika is very corrupt. Meko alikua muuaji lakini mungu ni nani akamuua pia. View attachment 1976248
Kenya inaipiga Tanzania in both milk and meat production..lete data inaprove otherwiseTutegemee maziwa nyie mna ng'ombe? Tz ni nchi ya pili Africa kuwa na ng'ombe wengi, au unaongelea maziwa ya unga ambayo JPM aliyapiga ban[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwamba ngano na unga tunategemea Kenya, so Bakhressa cku hz ni mkenya? Ukiingia maduka ya Kenya yamejaza ngano na unga wa Bakhressa na bidhaa nyingine nyingi, so ni mkenya yule [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siundoke humu kwenye forum ya watanzania, unasubiri nini ss, nyie ondokeni muende kwenye forum zenu kwani hamna forums nyie? Sisi watanzania wala hatuna shobo na mambo yenu ila nyie mnajipendekeza kwetu au kwasababu huwa tunawapa chakula?[emoji23][emoji23] what are you really trying to justify??that jamiiforums imejaa watu wenye low IQ kama wewe?
Nyie mnaoletewa maziwa na Uganda ndiyo mshindane na Tz?Kenya inaipiga Tanzania in both milk and meat production..lete data inaprove otherwise
unataka candid opinion yangu juu ya hili?Wamejawa chuki za kijinga, hawapendi kuona mji fulani wa Tz ukiendelea kisa tu kuna mtu wa huko hawampendi, so wanataka kuaminisha Watz kwamba Chato ilikuwa inajengwa kuliko Dodoma au Dar.
Sawa weka ila uoneshe ni jinsi gani Chato imepewa miradi mingi kuliko miji yote Tanzania, alafu pia uoneshe katiba ikisema baadhi ya miji hairuhusiwi kupewa miradi ya maendeleo.unataka maoni yangu juu ya hili?
Chato ilipendelewa na matokeo yake Geita Town ikabaki nyuma! Kama JPM ange-concentrate effort kuendeleza Geita Town basi ungekuwa mji mmoja very modern ila kwa sababu anazozijua yeye binafsi akagawanya rasilimali na awamu yake ya pili alikuwa awekeze zaidi aliona aibu kufanya yote awamu ya kwanza. Matokeo yake ubinafsi huo unawafanya wana Chato sas hivi kutaka kujitenga maana wanajiona bora zaidi ya wenzao wa Geita! Huo ndo ukweli najua mtatukana humu ndani!Sawa weka ila uoneshe ni jinsi gani Chato imepewa miradi mingi kuliko miji yote Tanzania, alafu pia uoneshe katiba ikisema baadhi ya miji hairuhusiwi kupewa miradi ya maendeleo.
We umefata nini JF?[emoji23][emoji23] what are you really trying to justify??that jamiiforums imejaa watu wenye low IQ kama wewe?
Hujaonesha bado ni vipi Chato ilipendelewa kuliko miji yote Tanzania, pia hujaonesha sehemu katiba imesema ni marufuku baadhi ya miji Tanzania kupewa miradi ya maendeleo.Chato ilipendelewa na matokeo yake Geita Town ikabaki nyuma! Kama JPM ange-concentrate effort kuendeleza Geita Town basi ungekuwa mji mmoja very modern ila kwa sababu anazozijua yeye binafsi akagawanya rasilimali na awamu yake ya pili alikuwa awekeze zaidi aliona aibu kufanya yote awamu ya kwanza. Matokeo yake ubinafsi huo unawafanya wana Chato sas hivi kutaka kujitenga maana wanajiona bora zaidi ya wenzao wa Geita! Huo ndo ukweli najua mtatukana humu ndani!
Hospitali ya Mkoa Geita Town
VS
Hospitali ya Wilaya Chato
usilazimishie mikoa mingine nimekutolea mfano candid wa jinsi Geita Town ilivyokuwa disadvantaged wewe unalazimishia Dodoma!Hujaonesha bado ni vipi Chato ilipendelewa kuliko miji yote Tanzania, pia hujaonesha sehemu katiba imesema ni marufuku baadhi ya miji Tanzania kupewa miradi ya maendeleo.
Tarmac mixed with clay soilHivi wenzetu wanatumia nini kujenga barabara? Tope ama? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1976252
Sasa mbn huoneshi kifungu cha katiba kikisema ni marufuku miradi ya maendeleo kupelekwa baadhi ya miji Tanzania.usilazimishie mikoa mingine nimekutolea mfano candid wa jinsi Geita Town ilivyokuwa disadvantaged wewe unalazimishia Dodoma!
sheria miji zipo zinazobainisha hospitali level ipi inapaswa kuwa mijini na vijijini! Pitia miongozo ya TAMISEMI!Sasa mbn huoneshi kifungu cha katiba kikisema ni marufuku miradi ya maendeleo kupelekwa baadhi ya miji Tanzania.