Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So nn, sisi ndiyo furaha yetu kwamba wametii, Kafrican kaleft na wakunya wote hawataki kabisa kusikia habari za comparison ya SGR [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
wewe unavyowatoa amani wabaki ili iweje? Mimi kuna thread mbili tu ambazo nilishaambiwa miradi haitatekelezwa electrical SGR Tanzania na EACOP! Yaani EACOP ikianza kujengwa rasmi Wakunya watakuwa hawana cha kuongea humu! Yaani mpaka nika-adopt slogan ya Museveni siku Uhuru alipokataa kusaini Kenya kujiunga na EACOP baada ya kutangazwa pipeline itapita Tanga!
 
Mm ushahidi wa comments zao kuhusu EACOP nnazo nasubiri utekelezaji tu wataleft humu wewe subiri tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…