Wewe dogo naona umeanza kuwa kichaa kidogo. Unavizia usiku tumelala unakuja kujaza server yetu ya TZ kwa mashudu yako.South Africa yearly gold revenue(largest in Africa,)= $ 4 b
Tanzania 270 containers=over $ 190 b
Ujinga ya kuzaliwa ni real
sent from iPhone 7
Wewe dogo naona umeanza kuwa kichaa kidogo. Unavizia usiku tumelala unakuja kujaza server yetu ya TZ kwa mashudu yako.
Pesa tunadai sisi kinacho kuwasha ni nini!?
Since 1999 wamekuwa wakidanganya na kukwepa kodi. Sasa piga hesabu ni miaka mingapi!?
Halafu usitulinganishe na SA, Tanzania kwa upande wa dhahabu ipo juu.
Halafu nyie maskini tunawapa kichwa sana.
Hivi nyie wakenya mnalolote la kujitapa juu ya TZ. Tunawapa only 5 years. Hamna chochote cha kisema juu ya Tz. Kama mafuta tanzania yapo yamejaa. Nyie ni maskini Tanzania ni tajiri. Mnapika data na kutoa za uongo.
Pole sana ndugu.....kabla ya kupost soma kwa makiniπππππKenya Airways leases out plane to Turkish Airlines
Kenya Airway to earn Sh1.4b from leasing of planes to Pakistan carrier
Kenya Airways Leases More Planes to Turkish, Oman Airlines
Continue diarrhearing words with no facts
sent from iPhone 7
Kidai pesa zetu inakuuma sana siyo!? Sasa tumeshadai kama vipi jinyonge. We know what we are doing. Wale wanaowatetea wezi tunawafinya taratibu. Hizo ni pesa zetu sio za kenya dogo.Deni yao 17 years na revenue yao yearly tz haifiki USD 1 b...sasa taxes utataka USD 190 lol
sent from iPhone 7
Haha KRA inacollect tax ya USD 14b ebu leta figures za TRA tujue nani maskiniWewe dogo naona umeanza kuwa kichaa kidogo. Unavizia usiku tumelala unakuja kujaza server yetu ya TZ kwa mashudu yako.
Pesa tunadai sisi kinacho kuwasha ni nini!?
Since 1999 wamekuwa wakidanganya na kukwepa kodi. Sasa piga hesabu ni miaka mingapi!?
Halafu usitulinganishe na SA, Tanzania kwa upande wa dhahabu ipo juu.
Halafu nyie maskini tunawapa kichwa sana.
Hivi nyie wakenya mnalolote la kujitapa juu ya TZ. Tunawapa only 5 years. Hamna chochote cha kisema juu ya Tz. Kama mafuta tanzania yapo yamejaa. Nyie ni maskini Tanzania ni tajiri. Mnapika data na kutoa za uongo.
Hahahaha Bbc pia waongo basiππππ
sent from iPhone 7
Hao wanaoshabikia wazungu tunawafinya taratibu. Sisi tunaongelea taarifa halali. Hizo za kwenye Twitter tunawaachia nyie wakenya mbumbumbu. Sisi tunadai pesa zetu na lazima wazilipe. Dunia nzima imeelewa na kuona hao jamaa ni wezi. They must pay. Hivi unadhani tunatania siyo!? Hizi ni international politics wewe mshamba wa kibera utajulia wapi!?
sent from iPhone 7
Hana akili huyo alaf wivu unamsumbua ππHao wanaoshabikia wazungu tunawafinya taratibu. Sisi tunaongelea taarifa halali. Hizo za kwenye Twitter tunawaachia nyie wakenya mbumbumbu. Sisi tunadai pesa zetu na lazima wazilipe. Dunia nzima imeelewa na kuona hao jamaa ni wezi. They must pay. Hivi unadhani tunatania siyo!? Hizi ni international politics wewe mshamba wa kibera utajulia wapi!?
Dogo isikuume sana. Sisi tunaju huko kwenu data zinapikwa. Ndio maana sasa kenya haikopesheki toka world bank. Nchi yenu haina source za income. Nchi yenu inahesabika ni kama wachuuzi au machinga. Hakuna source ya income ya kuekeweka mnatumia uongo na kudanganya. Kwenye utalii mlidanganya sana. Sasa hivi mbivu na mbichi zinaonekana.Haha KRA inacollect tax ya USD 14b ebu leta figures za TRA tujue nani maskini
sent from iPhone 7
There revenue was roughly 1b USD in 2016...assuming a constant revenue of USD 1b for 17 years this is 17*1=17b .so total revenues for 17 years =17b....then a government full of foolish guys demands tax of USD 190b....hahhahahahahahahhahahhahahhahahhahhahahbahahahahhahahahahahahhahahahahahahahahhahahahahahahha ......continue proving to the world how stupid you'reHao wanaoshabikia wazungu tunawafinya taratibu. Sisi tunaongelea taarifa halali. Hizo za kwenye Twitter tunawaachia nyie wakenya mbumbumbu. Sisi tunadai pesa zetu na lazima wazilipe. Dunia nzima imeelewa na kuona hao jamaa ni wezi. They must pay. Hivi unadhani tunatania siyo!? Hizi ni international politics wewe mshamba wa kibera utajulia wapi!?
Hao walikua wana run 3 minings in tanzaniaThere revenue was roughly 1b USD in 2016...assuming a constant revenue of USD 1b for 17 years this is 17*1=17b .so total revenues for 17 years =17b....then a government full of foolish guys demands tax of USD 190b....hahhahahahahahahhahahhahahhahahhahhahahbahahahahhahahahahahahhahahahahahahahahhahahahahahahha ......continue proving to the world how stupid you're
sent from iPhone 7
Mbona inakuuma sana sisi kudai deni letu!? Wewe umekuwa msemaji wa Barick Gold Mining na ACACIA!? President wa company alikuja na kusema watalipa. Sasa wewe kidampa cha kibera utajulia wapi hayo!?There revenue was roughly 1b USD in 2016...assuming a constant revenue of USD 1b for 17 years this is 17*1=17b .so total revenues for 17 years =17b....then a government full of foolish guys demands tax of USD 190b....hahhahahahahahahhahahhahahhahahhahhahahbahahahahhahahahahahahhahahahahahahahahhahahahahahahha ......continue proving to the world how stupid you're
sent from iPhone 7
Naumia ama nawacheka...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji22] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji22] [emoji22]Hao walikua wana run 3 minings in tanzania
So wamekwepa kodi 17 yrs ππππ
Usiumie bure utapasuka
Haha walisema wapi watalipa??? Yani TRA inataka kufurahisha magufuli na uwongoMbona inakuuma sana sisi kudai deni letu!? Wewe umekuwa msemaji wa Barick Gold Mining na ACACIA!? President wa company alikuja na kusema watalipa. Sasa wewe kidampa cha kibera utajulia wapi hayo!?
Hizo ni pesa zetu wamekwepa kodi. Tunataka TZ iwe kama UK. Wewe kitu wala hukijui unapiga kelele badala ya kututia moyo ili tupambane na huu ukoloni mambo leo.
Sisi ni waafrika, baada ya Tanzania kufanikiwa katika hili nchi nyingi za kiafrika zitakuwa huru. Haya ni mapambano yetu. Kama unatuunga mkono karibu kama hutaki jiunge na wazungu tukupikie chungu kimoja nao.
Kwani sisi hatutaki miji yetu iwe kama London!? Kwani hatutaki kuishi kwa raha!? Je, unadhani tunapenda kuvaa mitumba na kutukanwa huku tukisimangwa na wazungu.
Wakeup bro smell the coffee. Usijiondoe ufahamu.
This is international politics. Ndio utakuja kujua baadae maana ya jambo hili.
Bado kuna mgodi wa Williamson wa Diamond since 1950 government haijapata dividend. Piga hesabu na hiyo.
Tayari speaker wa bunge ameunda kamati kufuatilia huo mgodi. Wewe tulia tu utaona. Nyie ni wazee wa GDP sisi tunajenga reli kwa pesa yetu.
Mtategea hio pesa hadi kifoBasi endelea hivyo hivyo.
Bahati nzuri nimekuambia usikimbie hapa JF.Mtategea hio pesa hadi kifo
sent from iPhone 7