Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeutoa wapi huu upupu, naona sasa mumeanza kujifariji na vi blog uchwara
 
Budget kubwa on papers mzee siku wakija kumaliza kuota watajikuta wamedondoka kutoka kitandani.
Walimu wa tz wanakula mpka laki tatu, acha uongo wako hapa[emoji1787][emoji1787]
Utawadanganya matahira
 
ila kule kanda ya kigoma/lake Tanganyika hatuna hospitali kubwa ya kanda kama ya mtwara.. au ndo wanatumia ile ya mwanza bugando
Plan ni kujenga Kigoma or Tabora there is a need thats a big zone
 
I support the president on this, regionalism or tribalisn should not be a factor in making public appointments. We have seen alot of incapable people being given appointment in public offices based on this stupid and outdated system. People should be appointed based on merits and not anything else, after all we are all Tanzanians.
 
Hivi huwa mna matatizo sio,ila ala yule msukuma Aliyekuwa anahutubia kwa kilugha alikuwa sawa upstairs but Rais kusema yeye hana kabila ukimuuliza atasema ni Mzanzibar tayari hilo ni tatizo?

Kwani yeye ni Mrundi? Khaa si ni kweli ni Mzanzibar au?

Ambae hatuko sawa upstairs ni wewe au Rais?

Sasa wewe kafanye mzaha utajua yuko sawa upstar au hapana.
 
Huo ni mshahara wa house maids in Tz and that is in the minimum wage bracket here.
We utawadanganya ma bwege wenzio hko vijiweni wala sio mimi, we unafikiria hapa umekuja kw ajili wa unenguaji..

Hapa sisi ni facts tu wala sio maneno matupu
 
We km msukuma jikubali tu,bwege wewe yani mtu aache asili yake kw ajili ya matahira flani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…