Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya kikundi kinajiita MRC kilijaribu huu ujinga eti 'Mombasa sio Kenya' walikipata cha mtema kuni.
Hii ya Zanzibar ni ubaguzi kwa watanganyika.
 
Ila sisi Tanzania bhana tuna hatari sana, heb cheki ndani ya miezi mitatu tu tumeingiza/tumepokea ndege aina ya Air bus tulizonunua kwa pesa zetu mbilindani ya miezi hiyo hiyo tulipokea mabasi 70 ya BRT system. . Haitoshi ndani ya miezi muda huo huo tena tukapokea behewa za treni 44 . Vichwa vyake hivi Apo chini 👇... Tony254 njoo uku bro ujifunze kitu, sisi sio size yenu tena ikija kwenye suala la usafiri na usafirishaji..
 
Ndani ya muda huo huo wa miezi mitatu tukazindua kituo cha haki (mahakama) ndani ya capital city Serikali bora zaidi Africa mashariki na kati, ikazindua ujenzi wa majengo 24 yenye gorofa kuanzia sita Hadi kumi na moja ndani ya mji wa serikali (Magufuli City) 👇 . . Sigusi upande wa barabara, tuishie humu kwanza.. swali langu kwako bro The best 007. hiv huoni kwamba sisi tupo humu kuwapa moyo tu hawa jamaa zetu wa kenya akina Tony254 😂😂😂.. NB, miradi yote niliyopost imefanywa na serikali sikuvu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

 
Mabasi ni 140 mkuu sio 70
 

hii kitu [emoji41][emoji1666].. zero age imenifanya niwaze kuwa serikali inatumia hela nying sana.. nimecompare na vile najaribu ninunue gari kali la zero km (0-1000km) afu nakuta inakuja hela ndefu sana [emoji3064]
afu hesabu nyingine zinakuja.. hio hela ndefu si bora ninunue vitoy vingine kama vitatu hiv[emoji23]
 
hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…