Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi najuwa nikipanda chai hau kahawa hekari moja hapa kiambu niuze, naweza nunua mahindi ya mtanzania hekari kumi na nibaki na hela kwa mfuko.nani mjinga
Hujanijibu swali we ndegere😃
 
Hivi unajua hiyo picha uliyopost hiyo karanaka sasa hivi imehama mpya wanajenga ubungo ilipokuwa stendi ya mabasi kabla ya kuhamia mbezi?

Kila ukihamisha goli unakamatwa na wala hujiongezi!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tuambie hizo picha za mwaka gani ? Maana tz tulivunja maeneo ya bonde la msimbazi na mengine mengi ,wewe unaleta picha za 1998 huko na baadhi za mafuliko ya mvua kwa brt
 
Tuambie hizo picha za mwaka gani ? Maana tz tulivunja maeneo ya bonde la msimbazi na mengine mengi ,wewe unaleta picha za 1998 huko na baadhi za mafuliko ya mvua kwa brt
Kamongo anazingua tunamwacha aendelee kujifurahisha🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
wewe unasema 1998 ,wengine wanasema hapo sio Tanzanian🤣🤣🤣🤣adi rahaa
Tuambie hizo picha za mwaka gani ? Maana tz tulivunja maeneo ya bonde la msimbazi na mengine mengi ,wewe unaleta picha za 1998 huko na baadhi za mafuliko ya mvua kwa brt
 
wewe unasema 1998 ,wengine wanasema hapo sio Tanzanian[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]adi rahaa
Kwani ujui tumetofautiana miaka na maeneo tunayo ishi ,tafuta video za maeneo hayo yakivunjwa tz mbona zipo mitandaoni ,ni mabondeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…