Hahahah punguza hasira mm ntakuletea ww tulia kenge wewe😀😀😀😀😀Na wewe 50 floors × 5 iko wapi?????.acha ukumaa
sent from iPhone 7
Hahaha nairobi ina slum za nguruwe sio za binaadamu😀😀😀😀😀
Hii ni picha ya 1980'sCBD ya Nairobi is next to a slum. Sasa hii picha ina prove.View attachment 550264
This is Eastleigh years ago when the roads were bad. right now the economy of Eastleigh will shock you, it's one heck of a business hub.This market is in NairobiView attachment 550273
ujue wakenya bangi sana.......huyo collo na suti yake kwenye hiyo toroli ya mzigo vipiPicha moja inakutosha mzee wa YouTube.View attachment 550286

Employments zinamwagika bongo. Vipi kwa wenzetu unemployment inaendeleaje huko kenya?Ajira mpya kutoka wizara ya Afya. Wenzetu watasugua matako kwenye benchi mpaka waote sugu.View attachment 550322
Mzee wa iphone 7 bandia😀😀😀😀😀ujue wakenya bangi sana.......huyo collo na suti yake kwenye hiyo toroli ya mzigo vipi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nimecheka sana asee, jamaa anawah interview mana kwa unemployment ilokuwepo hawez acha kwenda yan liwake jua au inyeshe mvua lazima afike kwenye usahil, sio kwa kubinuka hukoPicha moja inakutosha mzee wa YouTube.View attachment 550286
Haha na ile yako ya 2012??????....wapi 50 floors ????Big white elephant since 2014😛😛😛
Dont change topics 2012 its was kakakuona na kawe city ni ya juzi na wamesha release 2.2 billion usd na wachina wako mzigoni wanajenga new city within a city😛😛😛😛😛Haha na ile yako ya 2012??????....wapi 50 floors ????
sent from iPhone 7
Wapi 50 floors????
Tunajenga kawe city 50fl×5Wapi 50 floors????
sent from iPhone 7
Iyo ndio 50 floors × 5 ????? Imeandikwa wapi??? Amaunaota?Dont change topics 2012 its was kakakuona na kawe city ni ya juzi na wamesha release 2.2 billion usd na wachina wako mzigoni wanajenga new city within a city😛😛😛😛😛
Hebu umia roho kidogo hapo
View attachment 550402 View attachment 550403