hahahahaaaaa
Kamata mwizi meeen.
Wezi haooo, kamata majizi hayooooo, yani naasume Kenya ni mtu then kakakatiza huku uswazi, so tunamkimbiza kumpa kisago.
Wakenya wanamaisha magumu sana bt kwa kujishaua tu hawajambo, ni kweli wanapika data mana taarifa za kwenye vitabu na maisha yao halisi haviendani kabisa yan.
inawezekana wakawa na kauchumi kazuri as a nation bt sio to that extent wanayo jisifu n on top of that raia kama raia wa Kenya ni maskini huwez kucompare na wabongo hata siku moja.
Hebu angalia hata hayo makazi duni ya dar ambayo wanayaita slums bt ni makazi duni kwavile hakuna mpangilo wa ujenzi tu na nyumba ni za zazamani kidogo (hapa nazungumzia dar katikati ya mji kama vile magomeni, tandale, tandika, mbagala etc) bt watu wanaoishi hayo maeneo wapo vizuri tu kiuchumi wanapata chakula, wanapata maji safi, elimu bure, umeme, hospital, barabara, nk, hata ukiingia kwenye hizo nyumba bado kuna mazingira ambayo ni standard kwa kuishi binadamu huwez fananisha na kibera hata siku moja, ile ni jehanamu iliyopo duniani, hakuna mtu dar au TZ anaishi maisha yale hata uende uswazi gani.
sasa ukienda huko dar pembeni ya mji ndo utajua waTZ sio maskini hata kama viwanja havijapimwa bt zinashushwa nyumba za maana sana. Kumbuka hapa sizungumzii zile posh areas kama masaki, mbez beach, mikocheni nk, namaanisha maeneo kama Mbezi ya mororgoro road, kimara,tabata, kinyerezi kijichi, kigamboni, bunju, tegeta, mbweni, na maeneo kama hayo, huko watanzania wamefanya kufuru asee.
Wakenya mnabebwa na wawkezaji bt nyie wenyewe ni maskini wa kutupwa wala msijifananishe na watanzani, halafu mna asili ya uchafu pia.