Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Majority ya watanzania hutumia maji chooni lakini husikii diarrhoea, kenya mnatumia makaratasi kutokana na hamna maji ndio maana kila siku diarrhoea mpaka odinga alipata diarrhoea juzi juzi
At least wakenya hawaguzi mavi yao kwa mkono unlike danganyikans
 
We really need to up our game ..what percentage of your budget..or by how much is will.you spend on development projects this year?
 
Yani kuhangaika kote huko ndo unaleta picha hizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Picha ya kwanza sina uhakika kama ni Dar lkn hata kama ni Dar inaonesha jamaa alikuwa anachota maji kwa ajili ya kumwagilia maua au bostani yake, unaweza kuona jamaa yuko poa kabisa, msafi anang'aa so hawezi kutumia maji hayo kwa kuoga.

Picha ya pili ni ufunguzi wa mradi wa maji which means hapo shida ya maji ishatatuliwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Eti wakuu huyu jamaa anaweza kuoga maji ya kisima huyu, angalia ngozi yake kama black America, nywele nyeusii zinaonesha kukubali chakula bora anachokula [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mtu anamwagilia bostani yake watu wanaleta picha eti shida ya maji, tangu lini Dar ikawa na shida ya maji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Diarrhoea diarrhoea diarrhoea cholera cholera cholera

ASSOCIATION BETWEEN WASH-RELATED BEHAVIORS AND KNOWLEDGE WITH CHILDHOOD DIARRHEA IN TANZANIA
 
Shida ya maji Dar ilikuwa enzi za Mkapa, nakumbuka nikiwa mdogo tulikuwa tunaamka saa 9 usiku kuweka foleni ya maji, nashangaa hayo mambo bado yapo Kenya 2021[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…