Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mzee wa YouTube hawa watu wawili(2) ndo wanaifanya Kenya isiwe na maendeleo. Kenyaaaa Ooooh Kenyaaa Ooooh Kenyaaaa Ooooh Kenyaaaa
images-159.jpeg
images-118.jpeg
Hahaha. ....Google is free....

Just Google Daresalaam aerial view

f2e9671aa05a958c7beb59e9e397a6a9.jpg
1ff864740263a5e905883e7818912f88.jpg
07090c150fba53c296e814c2bcb25911.jpg
2f6155077692ace43a87285f9576a569.jpg
a97c24c60d1593ed07902991ad28d12f.jpg
460e4ddb9803db104a0c69492c966093.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
TPSF, TCCIA, Jumuia ya wauzaji nje ya nchi ya Uturuki waandaa kongamano la kibiashara
tpsf_210_120.png



TAASISI ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) kwa kushirikiana na Chama cha Wenye Viwanda na Kilimo (TCCIA) pamoja na Jumuia ya wauzaji nje ya nchi ya Uturuki wameandaa kongamanono la kibiashara baina ya kampuni za Uturuki na Tanzania inayotaraji kufanyika Julai 27,mwaka huu jijini Dar es Salaam.

Akizungumzia Kongamano hilo Mkurugenzi Mtendajinwa TPSF, Godfrey Simbeye amesema lengo kuu la Kongamano hilo la kibiashara ninkuongeza ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara baina ya nchi hizo mbili pamoja na kubadilishana ujuzi na utaalam katika masuala ya kibiashara.

Simbeye alisema zaidi yanwashiriki 200 wanataraji kushiriki, huku akitoa wito kwa watanzania kutoka sekta mbalimbali hasa za ujenzi, kilimo na viwanda vya nguo kujitokeza na kujiandikisha kwaajilinya ushiriki wao.

"Hakuna adda ya ushiriki katika kongamano hilo, na nafasi ni chache maana tunataraji tuwe na washiriki takriban 200 ambao watakuja kukutana na makampunibya uturuki na kubadilishana uzoefu, hivyo tunatoa rai walio na nia ya kushiriki kujiandikisha mapema,"alisema Simbeye.

Aidha alisema kongamanobhilo litalenga zaidi katika sekta za umeme na vifaa vyake, mashine za kilimo, bidhaa zitokanazo na chuma, nguo na ushonaji, kemikali, vifaa vya magari na vipuri, saruji, ujenzi, Mahospitali, mazao ya vyakula na malighafi nyinginezo

TPSF, TCCIA, Jumuia ya wauzaji nje ya nchi ya Uturuki waandaa kongamano la kibiashara
 
Raisi Magufuli anaendelea na uzinduzi wa mihundombinu. Kwa sasa ni Singida baada ya Kigoma na Tabora
Screenshot_2017-07-25-11-37-35.png
Screenshot_2017-07-25-11-46-01.png
 
Back
Top Bottom